Hawa watoto wa kike, mmmh tuzaeni tu

Hawa watoto wa kike, mmmh tuzaeni tu

Wanaume wengi wanaopata watoto wakike huwa hawana furaha kamili hasa pale ambapo mtu akifikiria dhihaka na dharau atakazoletewa na hao watoto kupitia matendo yao yabaadae hasahasa ukizingatia mitazamo iliyomo kwenye jamii kuhusu hawa viumbe.Sasa hapo huyo binti anaonekana ni mjinga na anadhalilisha familia yake,na huyo mwanaume ana nafasi kubwa yakutokuja kumuoa kwasababu ataona kwa tabia hiyo anayoifanya huyo binti,hatakuja kuiacha na atamuwazia vitu vingi vibaya.
 
Naww huko kwny miti unarnda kuangalia watu wanachofanya si ndio umbea huo
Mkuu usijifanye hujui viwanja vya mjini, goli la upande mmoja lipo barabarani, goli lingine lipo pembezoni mwa makazi ya watu. Kama mtu unakimbia turning point lazima iwe either barabarani au karibu na miti inayotenga kiwanja na makazi ya watu.
 
Wanaume wengi wanaopata watoto wakike huwa hawana furaha kamili hasa pale ambapo mtu akifikiria dhihaka na dharau atakazoletewa na hao watoto kupitia matendo yao yabaadae hasahasa ukizingatia mitazamo iliyomo kwenye jamii kuhusu hawa viumbe.Sasa hapo huyo binti anaonekana ni mjinga na anadhalilisha familia yake,na huyo mwanaume ana nafasi kubwa yakutokuja kumuoa kwasababu ataona kwa tabia hiyo anayoifanya huyo binti,hatakuja kuiacha na atamuwazia vitu vingi vibaya.
Well said mkuu, na hapo binti ndo kapewa lawama zote, mwanaume anaonekana shujaa.
 
Mkuu usijifanye hujui viwanja vya mjini, goli la upande mmoja lipo barabarani, goli lingine lipo pembezoni mwa makazi ya watu. Kama mtu unakimbia turning point lazima iwe either barabarani au karibu na miti inayotenga kiwanja na makazi ya watu.
Acha kukariri viwanja vyote havipo hivyo
 
Habari za jumatatu ya pasaka wapendwa. Nilichokiona leo saa alfajiri, kimenifanya nifikilie hali itakuwaje kwa hawa mabinti zetu mwaka michache ijayo.
Hivi inakuwaje binti unatoka kwenu kwa kisingizio cha kufanya mazoezi wakati unaenda kupigwa shughuli tena kwenye miti iliyopo uwanjani bila haya. Kwa nini usababishe usumbufu kwa watu wengine? Guest hazipo siku hizi!? Au huyo boy wako hakuwa na hela za kuandea guest? Sasa si bora mgeliomba mchango wa guest tukawachangia!?
Kuweni wastaarabu bwana.
Sex pia ni mazoezi, ila naona now binadamu badala evolution kwenda mbele ime turn kurudi nyuma kwenye nyani era. Mnafanyana kama kuku
 
Aisee, mazoezi muhimu sana hasa ahsubuhi mapema
 
Kwa sisi madaktari hiyo pia ni sehemu ya mazoezi mkuu,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yalikuwepo, yapo na yatakuepo... Ni ngumu kuyazuia mkuu... Kama mzazi inabidi uwalee tu watoto wako katika njia sahihi.
Charity starts at home!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom