Hawa wanawake wana ndoa?

Hawa wanawake wana ndoa?

Jenista Mhagama -mjane
- Samia Suluhu-kaolewa
- Anne Makinda-Hana ndoa
- Joyce Ndalichako-kaolewa
- Anna Tibaijuka-mjane
- Jenista Mhagama-Hana ndoa
- Asha Rose Migiro-kaolewa
- Esther Bulaya-hana ndoa
- Ummy Mwalimu-kaolewa
- Tulia Atkson-kaolewa
- Maua Daftari-sijui
- Julian Shonza-kaolewa
- Catherine Magige-hana ndoa
- Getrude Rwakatare-hana ndoa
- Getrude Mongella-kaolewa
 
Mi nilibebwa na upepo wa kisulisuli lakini nikapitiliza pale kanisani sasa nimepotea kabisa nipo huku karibu na yombo tambuka reli...msaada wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upepo bado unakusomba mkuu?
 
Huu upepo wa kisulix2 kwanini usimpulize mdada mmoja aje anipe kompani? Kwani ni wa wanaume tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subili tu kisulisuli sio mchezo utapata tu haaaa haaaa
 
Unauliza Kama ungependa kwenda kuwadangia vile!
 
All cats are grey in the dark.
I might as well add that all women have the same height when lying on a bed!
Kwani utakaa na yeye in the dark siku zote. Kuna siku za kutoka kaka. Lazima uwe na kitu cha nguvu. Guu guu, tako tako, akismile stress zote kwisha. Akivaa simple cotton dress mwenyewe unaona raha. Mwanamke gani wa kuvaa vitenge vya wax na waya juu. Akisimail unadhani anafukuza ndege kwenye mpunga
 
Back
Top Bottom