Nowonmai
JF-Expert Member
- Jan 15, 2019
- 1,137
- 1,223
Kwani utakaa na yeye in the dark siku zote. Kuna siku za kutoka kaka. Lazima uwe na kitu cha nguvu. Guu guu, tako tako, akismile stress zote kwisha. Akivaa simple cotton dress mwenyewe unaona raha. Mwanamke gani wa kuvaa vitenge vya wax na waya juu. Akisimail unadhani anafukuza ndege kwenye mpunga
Nimekazia tu pale mahali patamu ‘ambako wengi wetu twapapenda’ Pamoja sana mkuu