Hawa wanawake wako dunia ipi?

Hawa wanawake wako dunia ipi?

Halafu kumbe mtu mwenyewe ni darasa la nne felia!
Ha ha ha niliishia la nne b
dadeki thanks sosho networks hata sisi wa kiswazi
tumeweza kunekana wa kishua
tunaleta humu mastori ya uongo masaa yanaenda
 
You know what japo boyfriend wangu yupo marekani kikazi
ila ana access pm zangu may be unipe namba nikuchek kwa whatsApp
(nitaazima tu simu mi natumia samsung ya tochi)

Inawezekana hata hiyo sijui wozap siijui!
 
Ha ha ha niliishia la nne b
dadeki thanks sosho networks hata sisi wa kiswazi
tumeweza kunekana wa kishua
tunaleta humu mastori ya uongo masaa yanaenda

Na hivi hata kazi hatuna basi ni kushinda JF tu!
 
Si utarudi tu?

Nakuambia ntakupiga chenga kama za pele
hadi nihakikishe nimeazima vitu ndo nije
sound nyingi mara nipo airport waiting flight kumbe nipo ndani ya treni naenda tabora
 
Nakuambia ntakupiga chenga kama za pele
hadi nihakikishe nimeazima vitu ndo nije
sound nyingi mara nipo airport waiting flight kumbe nipo ndani ya treni naenda tabora

Nakuambia nitahakikisha najua tu

Ukiwa uganda simu tutakayoongelea itanijulisha na ukirudi nitajua tu

Huna pa kukwepea nakuambia!
 
sis sis ndo tunagombania daladala za mbagala kupitia madirishani.....

tunaaka tandale kwa mtogole...

tunafanya kazi kwa wahindi...
mahoteli mkubwa na sehem za maana tunazona kwa Macho na kwenye TV
Tanaulala kwa mama ntilie
tunavaa nguo za karume na mwenge...

tukija hapa tunjifanya wa kishua kimbia kwenye mtandao wizi mtupu
 
Kama akina Ennie wanajidai wako Dar kumbe wako Kigoma!
 
Last edited by a moderator:
sis sis ndo tunagombania daladala za mbagala kupitia madirishani.....

tunaaka tandale kwa mtogole...

tunafanya kazi kwa wahindi...
mahoteli mkubwa na sehem za maana tunazona kwa Macho na kwenye TV
Tanaulala kwa mama ntilie
tunavaa nguo za karume na mwenge...

tukija hapa tunjifanya wa kishua kimbia kwenye mtandao wizi mtupu
Mi naishi masaki wazazi wangu walihamia daslam kikazi
yani pale pale ubungo kwa pembeni ndo masaki kwetu
jirani kabisa na ghorofa Lao charminglady
 
Last edited by a moderator:
^^
Eiyer asante kwa mada hii, naendelea kufuatilia majibu ya wanawake..teh teh
^^
 
Last edited by a moderator:
sis sis ndo tunagombania daladala za mbagala kupitia madirishani.....

tunaaka tandale kwa mtogole...

tunafanya kazi kwa wahindi...
mahoteli mkubwa na sehem za maana tunazona kwa Macho na kwenye TV
Tanaulala kwa mama ntilie
tunavaa nguo za karume na mwenge...

tukija hapa tunjifanya wa kishua kimbia kwenye mtandao wizi mtupu

...na kweli, wadada mnapenda vitop vya mitumba..khaaa!
muulize sasa kakinunulia duka gani...
 
images
images
images

Hahahahaaaaaaaaa!!!!!!!!
Oooh my god, jamaaani nikifika kabla sijaagiza huwa naogelea hapo kwenye hiyo swimming dress ooh sorry
swimming pool...
 
Back
Top Bottom