Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
Leo Nov 26, 2008 tunawafungulia baadhi ya waliowahi kufungiwa hapa JF. Wale waliopata server ban (not nick only) nao watakuwa huru kurejea hapa, kuna waliopewa LIFETIME ban nao wanapata msamaha kwa matumaini kuwa watakuwa wamebadilika.
Endapo watu wataenda kinyume na SHERIA ZA JF kuanzia sasa msamaha kama huu utakuwa mgumu sana.
Invisible
For JF Administration
Endapo watu wataenda kinyume na SHERIA ZA JF kuanzia sasa msamaha kama huu utakuwa mgumu sana.
Invisible
For JF Administration
Last edited by a moderator: