Hawa wamefunguliwa na kusamehewa

The biased censorship by your moderators is going to affect the credibility of your forum!!Tutakwenda kwenye magazeti kama Mtanzania Daima na blog ya Ansbert Ngurumo ambako hakuna MOLES!!
 
I suspect the so called moderators wametumwa na CCM kuuwa JF na ndio maana watu wote wa maana wnawashit.!!
 
You've done well my brother .. do whatever you have to do to keep this house clean ... tuko pamoja ... otherwise whoever isnt comfortable with this ... mlango uko wazi .. they go to the dampo walipozoea
 
Du, Mkuu, mpaka Mramba atinge kortini ndo unatoa msamaha lol.
Anyway, good gesture and I hope itazidi kuiinua JF. Kudos kwa moyo wa kusamehe
Ahsante kwa kutoa msamaha naamini hata 9 Desemba, 2008 Mh. JK atakapowasamehe wafungwa na wewe utaungana naye tena kusamehe.

Shukurani kwa moyo wako wa huruma lakini wakirudia tena basi sheria ishike njia yake. Uongeze ukali kidogo (kama spika alivyomshauri JK siku ile alivyohutubia bunge)
 
Back
Top Bottom