Hawa ndiyo wenye CCM, wengine endeleeni kupiga domo!

Hawa ndiyo wenye CCM, wengine endeleeni kupiga domo!

Huyu jamaa katingwa kwel, hauwezi kumnyima mtu Uhuru wa kugombea eti kwa vile mtoto Wa raisi mbona Uhuru kenyata ni mtoto Wa raisi, bush,kabila hawa ni baadhi tu, angalia mambo mengine ya kupost
 
Mimi mbwa ww nani? Ww Rais wako ni yupi kama huyu anaetambulika na waTz wote akiwemo Mtei,Slaa na Mbowe ww humtambi? Mpuuzi ni ww usiejia wala usie jijua uko kama Paya

Mpuuzi mkubwa wewe.!
 
I know the guy; hana uwezo wowote wa uongozi. Jamaa anachojua ni fitina tu dhidi ya wapinzani wake ndani na nje ya chama. Kazi nyingine anayoijua vizuri ni kupendekeza kwa mshua marafiki zake ambao huteuliwa kuwa wakuu wa Mikoa, Wilaya, Mabalozi na nafasi nyingine za uteuzi zenye nafasi ya kuiba mali za watanganyika.

Naona dalili za wazi hawa mabinti wa viti maalum, wengine manaibu waziri una mkono wa dogo! Akishapitia jina linaenda kwa mkulu.
 
Simiyu, ritz, hammy -dada, ifyengo,matela mapumbu, shenz jolian nk

Akili zao zipime Mods... tafadhali tafuteni kamata waende milembe paleee dom
 
Wenyewe ni watoto wa wakubwa na wakubwa wenyewe.kimsingi kwetu sangambi chunya walala hoi na walamba nyayo wote wamegundua ccm sio chama chao sasa wemekipuuza kwakuwa wanadai wagombea wanatoka dsm kuja kuchukua ubunge.wengi wao ni ndugu na wakubwa na rafiki wa wakubwa ccm mali ya mabeberu wenye nacho"hao ndio wenye ccm"
 
Huyu jamaa katingwa kwel, hauwezi kumnyima mtu Uhuru wa kugombea eti kwa vile mtoto Wa raisi mbona Uhuru kenyata ni mtoto Wa raisi, bush,kabila hawa ni baadhi tu, angalia mambo mengine ya kupost
Uhuru Kenyatta amegombea wakati baba yake hayuko madarakani. Mzee Jomo Kenyatta alifariki mwaka 1976 au 1978 hivi si ajabu ulikuwa hata hujazaliwa!! Bush pia kagombea wakati baba yake alishaondoka madarakani. Kabila pia aliingia madarakani baada ya baba yake kuuawa.
 
Sioni mantiki ya post yako, kwanza elewa kuwa Ridhiwan naye ni raia wa tz na haki kama ulivyo na haki ww kuhusu nchi yako kwa mujibu wa katiba, pia tambua kuwa hajateuliwa ila kachaguliwa na wananchi na siyo kwamba alikuwa pekee bali walikuwa wagombea wengi na yeye ndyo kaibuka mshindi, so..! sioni haja ya kulaumu.
You are right, mkuu kama ambavyo G Sam alivyo right vilevile!!

Wewe unasema Ridhiwani J.M Kikwete ana haki kama walivyo raia wengine wa Tz yaani wewe na mimi na wale wengine wote, jambo ambalo ni kweli kabisa hakuna mwenye ubishi na hilo na sidhani kama kuna atakayesema hapana.

Hata hivyo kuna haya yaliyotajwa na mleta hoja;
  1. Kwamba Ridhiwani Hana uwezo wa kiungozi, wewe unasemaje katika hilo?
  2. Kwamba,fedha na umaarufu wa familia ya Ki - Rais atokayo huyu jamaa ndiyo uliombeba na kwamba kulingana na mfumo wa uendeshaji wa mambo ndani ya CCM usitegemee matokeo tofauti toka kwa wana CCM yakambeba mwenye "njuru" chache, wewe unasemaje katika hilo?

Ukiniuliza mimi juu ya maoni ya mleta hoja,nitakuambia moja kwa moja kuwa ni kweli pamoja na kwamba huyu bwana Ridhiwani anabebwa na kapu la "haki yake ya uraia" ambalo linampa haki zingine kama hii ya kuchaguliwa kuwa kiongozi,upande wa pili hana uwezo wa kuwa kuiongozi sawa na Baba yake.....mfumo mbovu wa kifisadi tu ndiyo uliyombeba!!

Chini ya mfumo huu ndani ya CCM,mwenye nguvu ya fedha ndiye chaguo la wana CCM...SURVIVOR FOR FITTEST ni kanuni yao. Hii ndiyo logic ya mleta hoja!!
 
Sasa ni dhahiri wenye CCM wanajulikana na ule msemo wa "CCM ina wenyewe" sasa tunauelewa kiufasaha.

CCM iliwahi kufanya uchaguzi Arumeru mashariki na kumsimamsha mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo marehemu Jeremiah Sumari bwana Sioi Sumari. Vivyo hivyo imefanya katika jimbo la Kalenga kwa kumsimamisha mtoto wa aliyekuwa mbunge.

Pale Chalinze tayari Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete ameshashinda kura za maoni hivyo hatutarajii miujiza kubadili matokeo hayo kutokana na sababu lukuki!

Ninachohoji hapa ni kitendo cha wanaCCM 'wakubwa' kuwaweka katika ulingo mmoja hawa watoto wa vigogo na wagombea wengine wasio na 'chakuwabeba'.Mbaya zaidi ni pale ambapo watoto hawa wa 'vigogo' wanapoonekana dhahiri kukosa vipaji vya utumishi kwa walala hoi na hata uongozi hivyo kuonekana dhahiri kubebwa na watangulizi!

Ni ukweli usiopingika kwamba ukimchukua mtoto wa kigogo ukamuweka katika ulingo mmoja na asiye wa kigogo usitarajie maajabu kutoka kwa wajumbe wa CCM walala hoi ambao ndiyo wapiga kura! Piga mayowe onyesha kila aina ya kipaji cha utumishi ulichonacho lakini hutafua dafu kwa mtoto wa 'kigogo' ambaye hasemi na hana kipaji chochote cha utumishi!

Wapo watakaosema kuwa ni wananchi wameamua. Siyo kweli hata kidogo! Changanueni mtaifahamu nguvu iliyoamua!
Ni wajibu wenu wana Kalenga wana Chalinze na wengine kujifunza kutoka kwa wana Arumeru mashariki chagueni mtu mtakayeweza kupigania naye maisha yenu bega kwa bega! Mkimuita ataitika na kuja mbio kuwasikiliza na kutoa usaidizi kutoka moyoni!

Pumzika kwa amani baba wa taifa la Tanzania!
khaa!!! Analysis yako ni kama unasubiri maembe chini ua muarobaini
 
Mimi mbwa ww nani? Ww Rais wako ni yupi kama huyu anaetambulika na waTz wote akiwemo Mtei,Slaa na Mbowe ww humtambi? Mpuuzi ni ww usiejia wala usie jijua uko kama Paya

Kenge wewe, siwezi kuwa na rais kama huyo mimi. Ni rais wako wewe na wjinga wengine kama wewe.
 
wanaCHADEMA wanaoweweseka na Uteuzi Wa Mgimwa - Kalenga, na Ridhiwani - Chalinze.

Msitoe Kibanzi macho ya wenzenu ya kwenu yangali na Kibanzi.....

Ubunge Wa kupeana umeanzia Kwenu

1. Tundu Lissu, Dada yake Christina Lissu.
2. Philemon Ndesamburo mtoto wake Wa kumzaa Lucy Philemon Ndesamburo Owenya - hili owenya ni jina la mume wake. Dkt Owenya

3. Grace Sintato Kiwelu Philen Ndesamburo- ni mkwe Wa Philemon Ndesamburo aliyeolewa na Sindato Kiwelu, mtoto Wa Philemon Ndesamburo na kaka Wa Lucy Owenya.

4. Sabrina Sungura - Ni mchumba/ Kimada Wa Anthony Komu, Mkurugenzi Wa Fedha na Utawala Wa Chadema.

5. Joyce Mukya - Ni mke Wa kisheria Wa Freeman Mbowe. Kumbuka sheria zinasema ukikaa na mwanamke kwa miezi inayozidi sita unahesabika kuwa umeoa. Mbowe na Joyce Mukya wameishi pamoja mwaka Wa nne sasa na mtoto wamezaa.

6. Rose Kamili Sukum - ni mke halali Wa ndoa Wa katibu mkuu Wa Chadema Dr. Slaa

Mtela Mwampamba hujamfuata Mr wako kule Kalenga? Umekazana kuorodhesha waume wa wenzio, mbona wako aliyekufungulia duka pale Keko, Chang'ombe humtaji?
 
Ninavyojua mimi. Uongozi ni karama na haufundishwi... Sasa kama mtu ana karama hiyo kwann asitumie fursa kama ipo? Pia katiba yetu inaruhusu mtz yeyote kugombea. Haiangalii baba ake ashawah kuwa kiongozi au n kiongoz wa serkal hivyo watu hawa wanaruhusiwa na pia hawajajipitisha wao au baba zao hawajawapitisha. Wajumbe ndio waliowapitisha. Cdm kumbukeni hii singo haijauzika kabisa huku kalenga. Naona mnaipeleka chalinze wananchi wanasikiliza sera. Acheni kuwattack wagombea kama mnavyofanya kwa G Mgimwa mtaangukia pua. Washawishin watu wawape kura na sio kulalama et huyu baba ake n rais mara baba ake aliwah kuw mbunge..... Kila mtz ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa

hivi yule mtoto wa Matonya na yeye anahaki ya kuwa Ombaomba!!!!!
 
Mtela Mwampamba hujamfuata Mr wako kule Kalenga? Umekazana kuorodhesha waume wa wenzio, mbona wako aliyekufungulia duka pale Keko, Chang'ombe humtaji?

Mtela siyo mwanaume ?
 
Kenge wewe, siwezi kuwa na rais kama huyo mimi. Ni rais wako wewe na wjinga wengine kama wewe.

Mm kenge Dume ww kenge Jike nadhani mjinga ni mama yako alie kuzaa kabichi kwa kuharakisha kitu kisicho hitaji haraka ndio maana umepishana na mama yako kwa miaka 10 tu.mjinga ww ukitaka usitake Rais wa Jamhuri ya Tanzania ni JAKAYA MRISHO KHALFAN KIKWETE Vimba pasuka kunya harisha lakini miaaka inakwenda na Ilani ya CCM anaitekeleza ndio maana leo unathubutu kuandika Mavi humu.
 
Kenge wewe, siwezi kuwa na rais kama huyo mimi. Ni rais wako wewe na wjinga wengine kama wewe.

Na bado Rizwan akisha apishwa rasmi tunamuandaa housegarl wake kuchukuwa jimbo la Hai ndio mutakapo tia akili wachambia vibunzi.
 
You are right, mkuu kama ambavyo G Sam alivyo right vilevile!!

Wewe unasema Ridhiwani J.M Kikwete ana haki kama walivyo raia wengine wa Tz yaani wewe na mimi na wale wengine wote, jambo ambalo ni kweli kabisa hakuna mwenye ubishi na hilo na sidhani kama kuna atakayesema hapana.

Hata hivyo kuna haya yaliyotajwa na mleta hoja;
  1. Kwamba Ridhiwani Hana uwezo wa kiungozi, wewe unasemaje katika hilo?
  2. Kwamba,fedha na umaarufu wa familia ya Ki - Rais atokayo huyu jamaa ndiyo uliombeba na kwamba kulingana na mfumo wa uendeshaji wa mambo ndani ya CCM usitegemee matokeo tofauti toka kwa wana CCM yakambeba mwenye "njuru" chache, wewe unasemaje katika hilo?

Ukiniuliza mimi juu ya maoni ya mleta hoja,nitakuambia moja kwa moja kuwa ni kweli pamoja na kwamba huyu bwana Ridhiwani anabebwa na kapu la "haki yake ya uraia" ambalo linampa haki zingine kama hii ya kuchaguliwa kuwa kiongozi,upande wa pili hana uwezo wa kuwa kuiongozi sawa na Baba yake.....mfumo mbovu wa kifisadi tu ndiyo uliyombeba!!

Chini ya mfumo huu ndani ya CCM,mwenye nguvu ya fedha ndiye chaguo la wana CCM...SURVIVOR FOR FITTEST ni kanuni yao. Hii ndiyo logic ya mleta hoja!!

Yawezekana haya usemayo yakawa na ukweli kama vile Mbowe alivyo pata Uwenykiti Taifa Chadema na Ubunge Jimbo la Hai kwa nguvu ya Familia ya Mtei na nguvu ya Pesa alionayo Mtei na mkwewe Mboe. Mfumo huu wa kifamilia na wa kipesa sio mgeni ktk kugombania madaraka ktk nchi hii.Bado mm nahisi Ridhwan kachelewa kugombea alipaswa kugombea siku moja na Baba yake...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom