Hawa ndiyo wenye CCM, wengine endeleeni kupiga domo!

Hawa ndiyo wenye CCM, wengine endeleeni kupiga domo!

wanaCHADEMA wanaoweweseka na Uteuzi Wa Mgimwa - Kalenga, na Ridhiwani - Chalinze.

Msitoe Kibanzi macho ya wenzenu ya kwenu yangali na Kibanzi.....

Ubunge Wa kupeana umeanzia Kwenu

1. Tundu Lissu, Dada yake Christina Lissu.
2. Philemon Ndesamburo mtoto wake Wa kumzaa Lucy Philemon Ndesamburo Owenya - hili owenya ni jina la mume wake. Dkt Owenya

3. Grace Sintato Kiwelu Philen Ndesamburo- ni mkwe Wa Philemon Ndesamburo aliyeolewa na Sindato Kiwelu, mtoto Wa Philemon Ndesamburo na kaka Wa Lucy Owenya.

4. Sabrina Sungura - Ni mchumba/ Kimada Wa Anthony Komu, Mkurugenzi Wa Fedha na Utawala Wa Chadema.

5. Joyce Mukya - Ni mke Wa kisheria Wa Freeman Mbowe. Kumbuka sheria zinasema ukikaa na mwanamke kwa miezi inayozidi sita unahesabika kuwa umeoa. Mbowe na Joyce Mukya wameishi pamoja mwaka Wa nne sasa na mtoto wamezaa.

6. Rose Kamili Sukum - ni mke halali Wa ndoa Wa katibu mkuu Wa Chadema Dr. Slaa

POST ya KIJINGA KABISA !
 
Kwa haya yanayotokea sasa humu nchini Tanzania ni machukizo kwa Mungu na iko siku Mungu atawaumbua. DHULUMA SASA BASI.
 
wanaCHADEMA wanaoweweseka na Uteuzi Wa Mgimwa - Kalenga, na Ridhiwani - Chalinze.

Msitoe Kibanzi macho ya wenzenu ya kwenu yangali na Kibanzi.....

Ubunge Wa kupeana umeanzia Kwenu

1. Tundu Lissu, Dada yake Christina Lissu.
2. Philemon Ndesamburo mtoto wake Wa kumzaa Lucy Philemon Ndesamburo Owenya - hili owenya ni jina la mume wake. Dkt Owenya

3. Grace Sintato Kiwelu Philen Ndesamburo- ni mkwe Wa Philemon Ndesamburo aliyeolewa na Sindato Kiwelu, mtoto Wa Philemon Ndesamburo na kaka Wa Lucy Owenya.

4. Sabrina Sungura - Ni mchumba/ Kimada Wa Anthony Komu, Mkurugenzi Wa Fedha na Utawala Wa Chadema.

5. Joyce Mukya - Ni mke Wa kisheria Wa Freeman Mbowe. Kumbuka sheria zinasema ukikaa na mwanamke kwa miezi inayozidi sita unahesabika kuwa umeoa. Mbowe na Joyce Mukya wameishi pamoja mwaka Wa nne sasa na mtoto wamezaa.

6. Rose Kamili Sukum - ni mke halali Wa ndoa Wa katibu mkuu Wa Chadema Dr. Slaa
Tukitaja wa CCM tutawamaliza? Sisi tunahoji vijana wa 'vigogo' kujitwalia madaraka kiulaini eti wakidai kuwawakilisha wananchi huku wakionekana dhahiri kuwa na lengo lingine! Hivi kweli hao watoto wa 'vigogo' kama sio mbeleko za wakubwa wana jipya gani?
 
Na first lady wa ccm naye ametangaza kugombea ubunge huko Lindi mara atapokufa mbuge wa huko au 2015. Hongera mafisadi kwa kupeana urithi mapema Mungu awarehemu.
 
Sioni tatizo kwa mgombea ambaye baba yake alikuwa kiongozi. Ni tatizo kubwa kwa mgombea ambaye mzazi wake anamamlaka makubwa ya ushawishi wakati wa kugombea. Hili ni time bomb. Yanayotokea leo kwenye nchi zenye machafuko yalianza kama hivi. Tatizo katiba ipo kimya juu ya hili na hivyo mpaka sasa ni sawa tu kinachoendelea
 
Sioni mantiki ya post yako, kwanza elewa kuwa Ridhiwan naye ni raia wa tz na haki kama ulivyo na haki ww kuhusu nchi yako kwa mujibu wa katiba, pia tambua kuwa hajateuliwa ila kachaguliwa na wananchi na siyo kwamba alikuwa pekee bali walikuwa wagombea wengi na yeye ndyo kaibuka mshindi, so..! sioni haja ya kulaumu.

I know the guy; hana uwezo wowote wa uongozi. Jamaa anachojua ni fitina tu dhidi ya wapinzani wake ndani na nje ya chama. Kazi nyingine anayoijua vizuri ni kupendekeza kwa mshua marafiki zake ambao huteuliwa kuwa wakuu wa Mikoa, Wilaya, Mabalozi na nafasi nyingine za uteuzi zenye nafasi ya kuiba mali za watanganyika.
 
Siasa za kibongo kazi kweli kweli, zimekwisha nishinda. Nasubiria watu waanzishe vuguvugu la mapinduzi tu ili nijitupie humo.

Aisee we kama mimi kwa kweli,sijui ni lini tutapata viongozi majasiri watukusanye msituni tusake ukombozi wa kweli,yaani hizi siasa hazitupeleki kokote, nishachoka kabisa:target:
 
POST ya KIJINGA KABISA !

Ujinga upi?? Au ukwel alosema ndo umekua ujinga?? Ulitaka adanganye ndo aonekane kaandika vitu vya maana?

Tatizo pro-chadema mnaanzisha vita za mawe wakati mnaishi nyumba za vioo.
 
We mburula unavyohangaika na hii post tangu jana kwenye matanuru ya fb mpaka huku nilikuambia kuwa wivu hautakusaidia dogo fanya maisha yako acha kudandia kwa watu.

Aisee!! wivu ni mbaya sana kwakweli! ukiangalia watu wanavyochukia wenzao wasiwe viongozi hii ni hatari zaidi ya wivu! na ukichunguza wengine wanalazimisha kwa mgongo wa fedha na kufahamiana huu wivu ni mbaya sana.
Ila kwa uwazi zaidi ni hivi, huwa ni tamaduni za watoto kuwa kama baba zao au hata mama zao, na ni ruksa kabisa, ndio maana utasikia wakisema " huyu kijana mvivu kama baba yake" " huyu binti anaomba omba sana kama mama yake" nk!
Uongozi ni talanta na haulazimishwi wala hasira haipaswi kuhusishwa katika uteuzi wa kiongozi wa aina yeyote yule! hasira ikihusishwa tutegemee visasi.
Anyway!! siku ni namba na zinahesabika ngoja tuone malimwengu
 
Nasubiri..kwa mara ya kwanza JK ahemewe na CDM..Kwani maCCM wengi tuu mbunge wa makao makuu ya mikoa yao ni CDM..sasa ni zamu ya JK
 
vp tembo wamebaki wangapi?mtuachie hata mmoja wa maonyesho.

Duh Kamanda wakaushie hao wacje wakakimbia jf.hayo madude unayowapa hatari waambie pia watuachie japo vijana 1000 wasiwape madawa ya kulevya
 
uyu rizi simuza madawa kuweni makini wana chalinze msije letewa madawa badala ya maendeleo

Na uwaambie huyu ridhiwani pembe na meno ya tembo yakiisha ataanza kun'goa meno ya watu wa chalinze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom