Hawa ndiyo wenye CCM, wengine endeleeni kupiga domo!

Usisahu pia kuwaeleza watu kuwa chadema ni mtei,mbowe na slaa wengine wabeba mikoba tu.

Hivi mkuu mgombea ubunge kalenga kupitia CDM ni mtoto wa kigogo gani vile, just thinking loud.
 
ninavyojua mimi. Uongozi ni karama na haufundishwi... Sasa kama mtu ana karama hiyo kwann asitumie fursa kama ipo? Pia katiba yetu inaruhusu mtz yeyote kugombea. Haiangalii baba ake ashawah kuwa kiongozi au n kiongoz wa serkal hivyo watu hawa wanaruhusiwa na pia hawajajipitisha wao au baba zao hawajawapitisha. Wajumbe ndio waliowapitisha. Cdm kumbukeni hii singo haijauzika kabisa huku kalenga. Naona mnaipeleka chalinze wananchi wanasikiliza sera. Acheni kuwattack wagombea kama mnavyofanya kwa g mgimwa mtaangukia pua. Washawishin watu wawape kura na sio kulalama et huyu baba ake n rais mara baba ake aliwah kuw mbunge..... Kila mtz ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa
ridhiwani kikwete na karama ya uongozi!! Usichekeshe wenye akili zao! Imebakia salma kikwete awe mwenyekiti wa uwt maana na yeye ana kipaji! Tehe tehe tehe!
 
We mburula unavyohangaika na hii post tangu jana kwenye matanuru ya fb mpaka huku nilikuambia kuwa wivu hautakusaidia dogo fanya maisha yako acha kudandia kwa watu.

Ila wewe ndio mav. kabisa kweli jamaa unanuka. Hivi unaweza kujitahidi kudanganya watu mpaka lini? kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la kwanza anajua kuwa CCM inawenyewe na wenyewe ndi o hao. sasa wivu wa jamaa ni upi. Yaani hata macho huna vitu viko wazi kabisa. Pole sana
 
Sioni mantiki ya post yako, kwanza elewa kuwa Ridhiwan naye ni raia wa tz na haki kama ulivyo na haki ww kuhusu nchi yako kwa mujibu wa katiba, pia tambua kuwa hajateuliwa ila kachaguliwa na wananchi na siyo kwamba alikuwa pekee bali walikuwa wagombea wengi na yeye ndyo kaibuka mshindi, so..! sioni haja ya kulaumu.
Kweli ukoo wa panya haujitambui, mko hoi ktk dozi ya kuwashabikia walioshindwa kuliongoza taifa na kulitumbukiza ktk maangamizi.
Ni kweli kuwa hawa watoto wa vigogo ni wa tz, lakini hawajateuliwa kutokana na uwezo ila kulindana nakubebana
 
CCM kwa hili la kupitisha watoto wa vigogo kwa 'influence' ya hao vigogo huku wakiwa na dalili za kutokuwa na jipya kwa watakaowawakilisha sii busara.!
 
Ila wewe ndio mav. kabisa kweli jamaa unanuka. Hivi unaweza kujitahidi kudanganya watu mpaka lini? kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la kwanza anajua kuwa CCM inawenyewe na wenyewe ndi o hao. sasa wivu wa jamaa ni upi. Yaani hata macho huna vitu viko wazi kabisa. Pole sana

Mijitu kama Simiyu yetu ningekuwa namjua kwa sura ningekuwa nimeshamtoboa macho yaani kubwa Jinga linatetea mav. uozo na uvundo.
 
wanaCHADEMA wanaoweweseka na Uteuzi Wa Mgimwa - Kalenga, na Ridhiwani - Chalinze.

Msitoe Kibanzi macho ya wenzenu ya kwenu yangali na Kibanzi.....

Ubunge Wa kupeana umeanzia Kwenu

1. Tundu Lissu, Dada yake Christina Lissu.
2. Philemon Ndesamburo mtoto wake Wa kumzaa Lucy Philemon Ndesamburo Owenya - hili owenya ni jina la mume wake. Dkt Owenya

3. Grace Sintato Kiwelu Philen Ndesamburo- ni mkwe Wa Philemon Ndesamburo aliyeolewa na Sindato Kiwelu, mtoto Wa Philemon Ndesamburo na kaka Wa Lucy Owenya.

4. Sabrina Sungura - Ni mchumba/ Kimada Wa Anthony Komu, Mkurugenzi Wa Fedha na Utawala Wa Chadema.

5. Joyce Mukya - Ni mke Wa kisheria Wa Freeman Mbowe. Kumbuka sheria zinasema ukikaa na mwanamke kwa miezi inayozidi sita unahesabika kuwa umeoa. Mbowe na Joyce Mukya wameishi pamoja mwaka Wa nne sasa na mtoto wamezaa.

6. Rose Kamili Sukum - ni mke halali Wa ndoa Wa katibu mkuu Wa Chadema Dr. Slaa
 
Spot on.

Ndio maana tunataka kuanza upya kuijenga Tanzania ambayo raia wake watakuwa sawa mbele ya sheria, watapata fursa bila kujali umri, nasaba, jinsia nk
 
wanaCHADEMA wanaoweweseka na Uteuzi Wa Mgimwa - Kalenga, na Ridhiwani - Chalinze.

Msitoe Kibanzi macho ya wenzenu ya kwenu yangali na Kibanzi.....

Ubunge Wa kupeana umeanzia Kwenu

1. Tundu Lissu, Dada yake Christina Lissu.
2. Philemon Ndesamburo mtoto wake Wa kumzaa Lucy Philemon Ndesamburo Owenya - hili owenya ni jina la mume wake. Dkt Owenya

3. Grace Sintato Kiwelu Philen Ndesamburo- ni mkwe Wa Philemon Ndesamburo aliyeolewa na Sindato Kiwelu, mtoto Wa Philemon Ndesamburo na kaka Wa Lucy Owenya.

4. Sabrina Sungura - Ni mchumba/ Kimada Wa Anthony Komu, Mkurugenzi Wa Fedha na Utawala Wa Chadema.

5. Joyce Mukya - Ni mke Wa kisheria Wa Freeman Mbowe. Kumbuka sheria zinasema ukikaa na mwanamke kwa miezi inayozidi sita unahesabika kuwa umeoa. Mbowe na Joyce Mukya wameishi pamoja mwaka Wa nne sasa na mtoto wamezaa.

6. Rose Kamili Sukum - ni mke halali Wa ndoa Wa katibu mkuu Wa Chadema Dr. Slaa
 
Sioni mantiki ya post yako, kwanza elewa kuwa Ridhiwan naye ni raia wa tz na haki kama ulivyo na haki ww kuhusu nchi yako kwa mujibu wa katiba, pia tambua kuwa hajateuliwa ila kachaguliwa na wananchi na siyo kwamba alikuwa pekee bali walikuwa wagombea wengi na yeye ndyo kaibuka mshindi, so..! sioni haja ya kulaumu.

huko chalinze kuna tetesi kwamba kifo cha mbunge aliyefariki imetokana na mkuu ili atakapo ondoka madarakani naye mwanae awe kwenye system
 
ungekua na akili ungekwenda kuwaelimisha ndugu zako kule dutwa, ngeme, itilima, ng'esha ngeme nk, waache kunya mtoni manake Wanachafua ule mto unafanana na ID yako

Simiyu yenyewe Hamna Maui Barbara nzuri,eti wamepewa mkoa hata majengo hawana,wamekodi jengo la MTU ..
 
Ila wewe ndio mav. kabisa kweli jamaa unanuka. Hivi unaweza kujitahidi kudanganya watu mpaka lini? kiasi kwamba hata mtoto wa darasa la kwanza anajua kuwa CCM inawenyewe na wenyewe ndi o hao. sasa wivu wa jamaa ni upi. Yaani hata macho huna vitu viko wazi kabisa. Pole sana

wala usijihangaishe mkuu , Watetezi wa ccm hapa jf ni WATOTO WA VIONGOZI AU WAKE ZAO , huwezi kuwa unamuogopa MUNGU HALAFU UKATETEA CCM , YAANI UJITENGENEZEE DHAMBI HIVI HIVI TU !
 
wanaCHADEMA wanaoweweseka na Uteuzi Wa Mgimwa - Kalenga, na Ridhiwani - Chalinze.

Msitoe Kibanzi macho ya wenzenu ya kwenu yangali na Kibanzi.....

Ubunge Wa kupeana umeanzia Kwenu

1. Tundu Lissu, Dada yake Christina Lissu.
2. Philemon Ndesamburo mtoto wake Wa kumzaa Lucy Philemon Ndesamburo Owenya - hili owenya ni jina la mume wake. Dkt Owenya

3. Grace Sintato Kiwelu Philen Ndesamburo- ni mkwe Wa Philemon Ndesamburo aliyeolewa na Sindato Kiwelu, mtoto Wa Philemon Ndesamburo na kaka Wa Lucy Owenya.

4. Sabrina Sungura - Ni mchumba/ Kimada Wa Anthony Komu, Mkurugenzi Wa Fedha na Utawala Wa Chadema.

5. Joyce Mukya - Ni mke Wa kisheria Wa Freeman Mbowe. Kumbuka sheria zinasema ukikaa na mwanamke kwa miezi inayozidi sita unahesabika kuwa umeoa. Mbowe na Joyce Mukya wameishi pamoja mwaka Wa nne sasa na mtoto wamezaa.

6. Rose Kamili Sukum - ni mke halali Wa ndoa Wa katibu mkuu Wa Chadema Dr. Slaa

Na wewe ni mke wa nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom