Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Hakuna Mzungu mpuuz wa kumuweka Jesus kwenye list ya kidunia..... Ni wapuuzi wachache ambao Wanataka ku onyesha dini yao ni special kumbe hola kabisa....

Kunguru wa Zanzibar....
 
Mwalimu nyerere na Mandela wanahisika kwenye hii orodha
Mandela alifanya nini jamani kuwa samehe wazungu ndio alichofanya wakati weusi wenzake mpaka leo uchumi wao upo kwa wazungu uyu uwa si mkubali kabisa kwa africa labda kwame nkuruman na nyerere , wazungu walimpamba baada ya kuwatosa weusi wenzake na kuwanao hamna lolote
 
Mwalimu hakuna kikubwa alichoifanyia dunia hii, Mandela sawa ila I think hayupo kwenye list kwa sababu 1978 hakuwa amekamilisha kile kinachomfanya akumbukwe zaidi. But ni kosa lililo wazi kumuacha Martin Luther King Jr kwenye hii list.
Mandela alichokifanya ni kuungana na wazungu ali meet interest zao ndio maana wanampandisha hakuna alichofanyia Africa kama baadhi ya viongozi wengine kama wakina nyerere
 
ImageUploadedByJamiiForums1462556016.765932.jpg

List nyingine hiyo
 
Nyerere awekwe na sera zake za ujamaa zilizo fail?
tukizungumzia kuibadilisha dunia Nyerere kaibadilishaje?
mngesema hata Mandela kidogo inge make sense
 
Mkuu list iko vizuri though kwa mantiki ya ku u-fluence ulimwengu whether in good course or bad nadhani kuna wengine to be more precise the list goes on

Pili namba 1, 3 na 15 hukuwafanyia staha/ heshima kwani sisi wenye imani huwa hatuwataji majina yao kavukavu huwa mbele yake twasema peace be upon him. Mfano Mohammed (pbuh), Jesus (pbuh) Moses (pbuh) etc etc etc
 
Hakuna Mzungu mpuuz wa kumuweka Jesus kwenye list ya kidunia..... Ni wapuuzi wachache ambao Wanataka ku onyesha dini yao ni special kumbe hola kabisa....

Kunguru wa Zanzibar....
mkuu haka kamchezo hakahitaji hasira.
 
List yote ni technically invalid mpaka itakaponiambia biological father wa JESUS CHRIST ni nani.
 
hiyo ni list ya binaadamu walio influence dunia Mungu sio binaadam, so hawezi kuwa ktk hiyo list
Kwani umesoma hapo inahusu binadamu pekee? even thou Hakuna mUNGU WALA ALIYEWAHI KUMUONA SO NI KUSADIKIKA TU
 
Namba 1, kweli kawafundisha watu kujilipua na kuua watu wasio na hatia!! Kuanzisha vikundi vya kigaidi, kulazimisha imani yake aliyobuni na kuiba vipande vya mistari kutoka kwingine....eti ndio ya kweli! !
4185273f9deb3734fbedb6edf3dacb6d.jpg


Michael H Hart has made his choice due to the following points (his own words are stated so that I do not take liberty to interpret of my own):

[https://qph]



My choice of Muhammad to lead the list of the world's most influential persons may surprise some readers and may be questioned by others, but he was the only man in history who was supremely successful on both the religious and secular levels.-Michael H Hart.


First, Muhammad played a far more important role in the development of Islam than Jesus did in the development of Christianity. Although Jesus was responsible for the main ethical and moral precepts of Christianity (insofar as these differed from Judaism), St. Paul was the main developer of Christian theology, its principal proselytizer, and the author of a large portion of the New Testament.Since the Koran is at least as important to Moslems as the Bible is to Christians, the influence of Muhammed through the medium of the Koran has been enormous It is probable that the relative influence of Muhammad on Islam has been larger than the combined influence of Jesus Christ and St. Paul on Christianity.Furthermore, Muhammad (unlike Jesus) was a secular as well as a religious leader. In fact, as the driving force behind the Arab conquests, he may well rank as the most influential political leader of all time.Of many important historical events, one might say that they were inevitable and would have occurred even without the particular political leader who guided them. For example, the South American colonies would probably have won their independence from Spain even if Simon Bolivar had never lived. But this cannot be said of the Arab conquests. Nothing similar had occurred before Muhammad, and there is no reason to believe that the conquests would have been achieved without him. The only comparable conquests in human history are those of the Mongols in the thirteenth century, which were primarily due to the influence of Genghis Khan. These conquests, however, though more extensive than those of the Arabs, did not prove permanent, and today the only areas occupied by the Mongols are those that they held prior to the time of Genghis Khan.
 
The 100 Most Influential Persons in History by Michael H. Hart. A Ranking of the Most Influential Persons in History in 1978, which has sold more than 500,000 copies and been translated into 15 languages worldwide.

LISTI HIYO NI KAMA IFUATAVYO
1. Prophet Muhammad
2.Isaac Newton
3.Jesus Christ
4.Buddha
5.Confucius
6.St. Paul
7.Ts'ai Lun
8.Johann Gutenberg
9.Christopher Columbus
10.Albert Einstein
11.Louis Pasteur
12.Galileo Galilei
13.Aristotle
14.Euclid
15.Moses
16.Charles Darwin
17.Shih Huang Ti
18.Augustus Caesar
19.Nicolaus Copernicus
20.Antoine Laurent Lavoisier
21.Constantine the Great
22.James Watt
23.Michael Faraday
24.James Clerk Maxwell
25.Martin Luther
26.George Washington
27.Karl Marx
28.Orville and Wilbur Wright
29.Genghis Khan
30.Adam Smith
31.William Shakespeare
32.John Dalton
33.Alexander the Great
34.Napoleon Bonaparte
35.Thomas Edison
36.Antony van Leeuwenhoek
37.William T.G. Morton
38.Guglielmo Marconi
39.Adolf Hitler
40.Plato
41.Oliver Cromwell
42.Alexander Graham Bell
43.Alexander Fleming
44.John Locke
45.Ludwig van Beethoven
46.Werner Heisenberg
47.Louis Daguerre
48.Simon Bolivar
49.Rene Descartes
50.Michelangelo
51.Pope Urban II
52.'Umar ibn al-Khattab
53.Ashoka
54.St. Augustine
55.William Harvey
56.Ernest Rutherford
57.John Calvin
58.Gregor Mendel
59.Max Planck
60.Joseph Lister
61.Nikolaus August Otto
62.Francisco Pizarro
63.Hernando Cortes
64.Thomas Jefferson
65.Queen Isabella I
66.Joseph Stalin
67.Julius Caesar
68.William the Conqueror
69.Sigmund Freud
70.Edward Jenner
71.Wilhelm Conrad Roentgen
72.Johann Sebastian Bach
73.Lao Tzu
74.Voltaire
75.Johannes Kepler
76.Enrico Fermi
77.Leonhard Euler
78.Jean-Jacques Rousseau
79.Nicoli Machiavelli
80.Thomas Malthus
81.John F. Kennedy
82.Gregory Pincus
83.Mani
84.Lenin
85.Sui Wen Ti
86.Vasco da Gama
87.Cyrus the Great
88.Peter the Great
89.Mao Zedong
90.Francis Bacon
91.Henry Ford
92.Mencius
93.Zoroaster
94.Queen Elizabeth I
95.Mikhail Gorbachev
96.Menes
97.Charlemagne
98.Homer
99.Justinian I
100.Mahavira
I humbly submit
Wa Lumumba watakwambia Magufuli naye yumo
 
Back
Top Bottom