Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Sio chini ya Newton tu,hata kumweka katikati na kumlinganisha na binaadam wa kawaida wasiyeojua hata nusu sekunde ya uhai wao ni upumbavu kabisa.
sasa kama mwenyewe aliamua kushuka na kua binadam mbona unatoka povu yeye kua chini ya newton... bora angekuja kimungumungu ili asifananishwe na binadam...
vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Mkumbuke baada tu ya Uhuru Nyerere alishinikiza mpaka AK ikaondolewa Common Wealth na baadae United Nations. PP ya AK haikutbuliwa popote duniani.
Pia wakati huo ilikuwa dhambi kwa paso yako kuwa na mhuri uki onyesha umeingia AK.
Yote ilitokana na juhudi za Mwalimu!
 
Kumbukeni John Kennedy, Mao tseTung wote walitambua juhudi za Mwalimu kubadili Mahusiano Duniani. Kumbuka juhudi zake kwenye Umoja wa Nchi zisizo fungamana na Ipande Wowote!
 
Da yaani hata madiba au mwl hawapo aaah!!, naendelea kuamini wakoloni bado wanatutawala ila kwa njia ingine kabisa![emoji85]
Mwalimu hakuna kikubwa alichoifanyia dunia hii, Mandela sawa ila I think hayupo kwenye list kwa sababu 1978 hakuwa amekamilisha kile kinachomfanya akumbukwe zaidi. But ni kosa lililo wazi kumuacha Martin Luther King Jr kwenye hii list.
 
Le Mutuz hayupo kwenye iyo Orodha? Ama atakumbukwa katika vizazi viiiingiii vijavyo?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
ALEXANDER GRAM BELL aliyevumbua simu kumbe hayumo humo!!!!
 
nikola tesla hayupo hapo? ebu kafanye research yako upya....
 
Kwa list hii isiyo na Nyerere wala Mandela ujue na Donald Trump atakuwemo karibuni
 
Kama alotakiwa kuwa one yuko 3 hii list hAiko fair maana hata shilole a.k.a chura umenyima namba maana siku mbili hizi huku uswazi amewarudishia wanawake zetu umuhimu wa kujituma na furaha zetu zinaonekana waz waz huko makazin.
 
Wafia dini bhana, hahahaha hua nawacheka kwa dharau.

Sasa list wametoa hao wazungu wenu mnaowaabudu bado watu watokwa na mapovu.
 
The 100 Most Influential Persons in History by Michael H. Hart. A Ranking of the Most Influential Persons in History in 1978, which has sold more than 500,000 copies and been translated into 15 languages worldwide.

LISTI HIYO NI KAMA IFUATAVYO
1. Prophet Muhammad
2.Isaac Newton
3.Jesus Christ
4.Buddha
5.Confucius
6.St. Paul
7.Ts'ai Lun
8.Johann Gutenberg
9.Christopher Columbus
10.Albert Einstein
11.Louis Pasteur
12.Galileo Galilei
13.Aristotle
14.Euclid
15.Moses
16.Charles Darwin
17.Shih Huang Ti
18.Augustus Caesar
19.Nicolaus Copernicus
20.Antoine Laurent Lavoisier
21.Constantine the Great
22.James Watt
23.Michael Faraday
24.James Clerk Maxwell
25.Martin Luther
26.George Washington
27.Karl Marx
28.Orville and Wilbur Wright
29.Genghis Khan
30.Adam Smith
31.William Shakespeare
32.John Dalton
33.Alexander the Great
34.Napoleon Bonaparte
35.Thomas Edison
36.Antony van Leeuwenhoek
37.William T.G. Morton
38.Guglielmo Marconi
39.Adolf Hitler
40.Plato
41.Oliver Cromwell
42.Alexander Graham Bell
43.Alexander Fleming
44.John Locke
45.Ludwig van Beethoven
46.Werner Heisenberg
47.Louis Daguerre
48.Simon Bolivar
49.Rene Descartes
50.Michelangelo
51.Pope Urban II
52.'Umar ibn al-Khattab
53.Ashoka
54.St. Augustine
55.William Harvey
56.Ernest Rutherford
57.John Calvin
58.Gregor Mendel
59.Max Planck
60.Joseph Lister
61.Nikolaus August Otto
62.Francisco Pizarro
63.Hernando Cortes
64.Thomas Jefferson
65.Queen Isabella I
66.Joseph Stalin
67.Julius Caesar
68.William the Conqueror
69.Sigmund Freud
70.Edward Jenner
71.Wilhelm Conrad Roentgen
72.Johann Sebastian Bach
73.Lao Tzu
74.Voltaire
75.Johannes Kepler
76.Enrico Fermi
77.Leonhard Euler
78.Jean-Jacques Rousseau
79.Nicoli Machiavelli
80.Thomas Malthus
81.John F. Kennedy
82.Gregory Pincus
83.Mani
84.Lenin
85.Sui Wen Ti
86.Vasco da Gama
87.Cyrus the Great
88.Peter the Great
89.Mao Zedong
90.Francis Bacon
91.Henry Ford
92.Mencius
93.Zoroaster
94.Queen Elizabeth I
95.Mikhail Gorbachev
96.Menes
97.Charlemagne
98.Homer
99.Justinian I
100.Mahavira
I humbly submit
Umemsahau LEONARDO DAVINCE uyu genous hakuna aliyewai kufanya vitu kama yeye
 
Back
Top Bottom