Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Mbona Kikwete ayupo maana tunapozungumzia Dunia hata TZ nayo ni moja kati nchi ardhi ya Dunia ...
Jk pia katufikisha waTZ apa tulipo alipaswa kuwepo
 
Chaajabu Elon Mosk Ni mvumbuzi wa magari ya nayo tumia nguvu za umeme zinaitwa Tesla Na zinatengenezwa USA.Na vile vile Huyo Elon Mosk anatengeneza Rocket Na kuzikodisha Kwa NASA company inaitwa Xspace Na anatengeneza solar arushe dunia nzima.
Labda Tesla kafufuka kawa Elon Mosk(Toka RS)
Republic of South Africa.
Sio Mosk mzee ni Musk
 
Hii list ina Mashaka mengi
. Mao Ze Dong. Karl Marx, Lenin
Mandela, Mahatma Gandhi. Hilohito Mfalme, Diesel mvumbuzi wa engine ya Diesel. Karashnikov (AK47).
Walikua so wakuacha. Kama ingefuata haki.
 
ume msahau mr Moris..na Austin pia carnly Benz na partiner wake Mspein...na kubadirshsa Benz pekee kuita Marcedes Benz..
 
21 Paulo akasimama katikati yao akasema, naona ya kuwa ninyi ni watu wa kutafakari sana mambo ya dini.

22 Kwa sababu nilipokuwa nikipita huko na huko na kuyaona mambo ya ibada yenu, naliona madhabahu iliyoandikwa maneno haya, KWA MUNGU ASIYEJULIKANA. Basi mimi nawahubirini habari zake yeye ambaye ninyi mnamwabudu bila kumjua.

23 Mungu aliyeufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo, yeye, kwa kuwa ni Bwana wa mbingu na nchi, hakai katika hekalu zilizojengwa kwa mikono;

24 wala hatumikiwi kwa mikono ya wanadamu kana kwamba anahitaji kitu cho chote; kwa maana ndiye anayewapa wote uzima na pumzi na vitu vyote.

25 Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae juu ya uso wa nchi yote, akiisha kuwawekea nyakati alizoziamuru tangu zamani, na mipaka ya makazi yao;

26 ili wamtafute Mungu, ingawa ni kwa kupapasa-papasa, wakamwone, ijapokuwa hawi mbali na kila mmoja wetu.

27 Kwa maana ndani yake yeye tunaishi, tunakwenda, na kuwa na uhai wetu. Kama vile mmoja wenu, mtunga mashairi alivyosema, Maana sisi sote tu wazao wake.

28 Basi, kwa kuwa sisi tu wazao wa Mungu, haitupasi kudhani ya kuwa Uungu ni mfano wa dhahabu au fedha au jiwe, vitu vilivyochongwa kwa ustadi na akili za wanadamu.

29 Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu.

30 Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki, kwa mtu yule aliyemchagua (YESU KRISTO); naye amewapa watu wote uthabiti wa mambo haya kwa kumfufua katika wafu.

31 Basi waliposikia habari za ufufuo wa wafu (WOKOVU) wengine walifanya dhihaka; wengine wakasema, Tutakusikiliza tena katika habari hiyo.
MATENDO 17:21-31
 
watu wanalalamika kuhusu issa bin mariam aka yesu kristu kuwa namba 3 kwani hawajui kuwa alitumwa kwa kondoo waliopotea wa israel tu na sio dunia yote ila mtume muhammadi saw alitumwa kwa dunia yote mi cioni problem hapo
 
Umejitahidi. but kuna mtu mmoja mashuhuri sana umemsahau anaitwa ALBERT PIKE huyo jamaa ni hatarii...

Now unavoona dunia inavoenda yeye ndo aliipangilia iende hivyo.

Kuna kitabu chake kinaitwa "MORALS AND DOGMA" tafuta sijui utakipata wapi hapa Tanzania. yaani huyu jamaa ni nooooma sana I think yeye na God ni mtu na mdogo wake, au ni mapacha
Hata Aleister Crowley alipaswa kuwepo katika list hiyo
 
The 100 Most Influential Persons in History by Michael H. Hart. A Ranking of the Most Influential Persons in History in 1978, which has sold more than 500,000 copies and been translated into 15 languages worldwide.

LISTI HIYO NI KAMA IFUATAVYO
1. Prophet Muhammad
2.Isaac Newton
3.Jesus Christ
4.Buddha
5.Confucius
6.St. Paul
7.Ts'ai Lun
8.Johann Gutenberg
9.Christopher Columbus
10.Albert Einstein
11.Louis Pasteur
12.Galileo Galilei
13.Aristotle
14.Euclid
15.Moses
16.Charles Darwin
17.Shih Huang Ti
18.Augustus Caesar
19.Nicolaus Copernicus
20.Antoine Laurent Lavoisier
21.Constantine the Great
22.James Watt
23.Michael Faraday
24.James Clerk Maxwell
25.Martin Luther
26.George Washington
27.Karl Marx
28.Orville and Wilbur Wright
29.Genghis Khan
30.Adam Smith
31.William Shakespeare
32.John Dalton
33.Alexander the Great
34.Napoleon Bonaparte
35.Thomas Edison
36.Antony van Leeuwenhoek
37.William T.G. Morton
38.Guglielmo Marconi
39.Adolf Hitler
40.Plato
41.Oliver Cromwell
42.Alexander Graham Bell
43.Alexander Fleming
44.John Locke
45.Ludwig van Beethoven
46.Werner Heisenberg
47.Louis Daguerre
48.Simon Bolivar
49.Rene Descartes
50.Michelangelo
51.Pope Urban II
52.'Umar ibn al-Khattab
53.Ashoka
54.St. Augustine
55.William Harvey
56.Ernest Rutherford
57.John Calvin
58.Gregor Mendel
59.Max Planck
60.Joseph Lister
61.Nikolaus August Otto
62.Francisco Pizarro
63.Hernando Cortes
64.Thomas Jefferson
65.Queen Isabella I
66.Joseph Stalin
67.Julius Caesar
68.William the Conqueror
69.Sigmund Freud
70.Edward Jenner
71.Wilhelm Conrad Roentgen
72.Johann Sebastian Bach
73.Lao Tzu
74.Voltaire
75.Johannes Kepler
76.Enrico Fermi
77.Leonhard Euler
78.Jean-Jacques Rousseau
79.Nicoli Machiavelli
80.Thomas Malthus
81.John F. Kennedy
82.Gregory Pincus
83.Mani
84.Lenin
85.Sui Wen Ti
86.Vasco da Gama
87.Cyrus the Great
88.Peter the Great
89.Mao Zedong
90.Francis Bacon
91.Henry Ford
92.Mencius
93.Zoroaster
94.Queen Elizabeth I
95.Mikhail Gorbachev
96.Menes
97.Charlemagne
98.Homer
99.Justinian I
100.Mahavira
I humbly submit
#xxx: Satan[emoji88] .... Mmemsahau naye kwenye list...
 
Back
Top Bottom