Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Umejitahidi. but kuna mtu mmoja mashuhuri sana umemsahau anaitwa ALBERT PIKE huyo jamaa ni hatarii...

Now unavoona dunia inavoenda yeye ndo aliipangilia iende hivyo.

Kuna kitabu chake kinaitwa "MORALS AND DOGMA" tafuta sijui utakipata wapi hapa Tanzania. yaani huyu jamaa ni nooooma sana I think yeye na God ni mtu na mdogo wake, au ni mapacha
Acha kusifia ufreemason Morals and Dogmas kipo lakini kama sio member wa Freemasonry huwezi kuambulia kitu
 
ulivyopanga mwanzo tu umeharibu mmoja kumpa namba 1 halafu mwingine namba 3 anazidiwa na Isaac Newton kweliiiii.....???
umenisikitisha sana....
Hahahhahahaha mkuu ulitaka awape wote namba moja afu aendelee huyo newton namba 3
 
Mkuu, Wengi wao hapo ni mitume na wavumbuzi, sasa hao unaotaja wewe ni wanasiasa tu hawana worldwide impact zaidi ya mchezo wa maneno!
Kwa maneno mengine ushajaa wa wanasiasa unatokana na haoo waliotajwa.
 
Mungu kwanza hao wengine wameimbwa na Mungu
 
Da yaani hata madiba au mwl hawapo aaah!!, naendelea kuamini wakoloni bado wanatutawala ila kwa njia ingine kabisa![emoji85]
Mkuu naona bandiko hujalielewa! Huyo Mwalimu hata Watanzania wenyewe pia hawamkubali wala hawaelewi alichokifanya.
Huyo Mwalimu wako nafasi yake ni Tz tu. Dunia haimjui kabisaaa.
 
The 100 Most Influential Persons in History by Michael H. Hart. A Ranking of the Most Influential Persons in History in 1978, which has sold more than 500,000 copies and been translated into 15 languages worldwide.

LISTI HIYO NI KAMA IFUATAVYO
1. Prophet Muhammad
2.Isaac Newton
3.Jesus Christ
4.Buddha
5.Confucius
6.St. Paul
7.Ts'ai Lun
8.Johann Gutenberg
9.Christopher Columbus
10.Albert Einstein
11.Louis Pasteur
12.Galileo Galilei
13.Aristotle
14.Euclid
15.Moses
16.Charles Darwin
17.Shih Huang Ti
18.Augustus Caesar
19.Nicolaus Copernicus
20.Antoine Laurent Lavoisier
21.Constantine the Great
22.James Watt
23.Michael Faraday
24.James Clerk Maxwell
25.Martin Luther
26.George Washington
27.Karl Marx
28.Orville and Wilbur Wright
29.Genghis Khan
30.Adam Smith
31.William Shakespeare
32.John Dalton
33.Alexander the Great
34.Napoleon Bonaparte
35.Thomas Edison
36.Antony van Leeuwenhoek
37.William T.G. Morton
38.Guglielmo Marconi
39.Adolf Hitler
40.Plato
41.Oliver Cromwell
42.Alexander Graham Bell
43.Alexander Fleming
44.John Locke
45.Ludwig van Beethoven
46.Werner Heisenberg
47.Louis Daguerre
48.Simon Bolivar
49.Rene Descartes
50.Michelangelo
51.Pope Urban II
52.'Umar ibn al-Khattab
53.Ashoka
54.St. Augustine
55.William Harvey
56.Ernest Rutherford
57.John Calvin
58.Gregor Mendel
59.Max Planck
60.Joseph Lister
61.Nikolaus August Otto
62.Francisco Pizarro
63.Hernando Cortes
64.Thomas Jefferson
65.Queen Isabella I
66.Joseph Stalin
67.Julius Caesar
68.William the Conqueror
69.Sigmund Freud
70.Edward Jenner
71.Wilhelm Conrad Roentgen
72.Johann Sebastian Bach
73.Lao Tzu
74.Voltaire
75.Johannes Kepler
76.Enrico Fermi
77.Leonhard Euler
78.Jean-Jacques Rousseau
79.Nicoli Machiavelli
80.Thomas Malthus
81.John F. Kennedy
82.Gregory Pincus
83.Mani
84.Lenin
85.Sui Wen Ti
86.Vasco da Gama
87.Cyrus the Great
88.Peter the Great
89.Mao Zedong
90.Francis Bacon
91.Henry Ford
92.Mencius
93.Zoroaster
94.Queen Elizabeth I
95.Mikhail Gorbachev
96.Menes
97.Charlemagne
98.Homer
99.Justinian I
100.Mahavira
I humbly submit

Mahatma Gandhi, Mama Theresa, Nelson Mandela
 
Mahatma Gandhi, Mama Theresa, Nelson Mandela
Hi list katoa huyo mwandishi wa kitabu tokea 1978. Haikutolewa naleta mada. Mandela alikuwa korokoroni, mwalimu alikuwa na azimioblake la Arusha sio la ulimwengu. Na ndio wengine mkafeli Div.0
 
Mara mwl watz hawamjubali mara nafasi yake ni tz!!, sasa nikuelewe vp? Utakuwa mtanzania wewe mwenyewe usiyemkubali!.

Lakini nasa_port kauli yako kuwa dunia haimjui (kweli kabisa) ila binadamu walio duniani asilimia kubwa walimfaham na wanaendekea kumfaham!

Mkuu naona bandiko hujalielewa! Huyo Mwalimu hata Watanzania wenyewe pia hawamkubali wala hawaelewi alichokifanya.
Huyo Mwalimu wako nafasi yake ni Tz tu. Dunia haimjui kabisaaa.
 
Dah yaan hajaanza na Yesu? Mi simuamini kabisa. Ilimradi ni mtazamo
 
Hii kitu toka kitambo huwa naona waislamu wanafurahia sana kuna siku moja ya mtoa hutuba aliongea masjid. But mi nipo against kabisa kwa mtume kuwekwa namba moja... hapo kuna kitu walilenga ili aonekane kwamba yeye ni most powerful and influencial person with individual talent wakati mtume (s.a.w) alikuwa hajui kusoma wala kuandika mpaka anakuja kupewa utume...na mengine mengi hata uwezo wake katika mambo mengi ni Quran pamoja na matendo yake ndiyo yalifanya so hivyo vyote vimetokana na uwezo wa Mwenyezi Mungu (s.w).

Tumswalie mtume
S.a.w
Ee Mwenyezi Mungu tuepushe na upuuzi wa Mashaitwani wa kibinadamu maana ni wabaya kuliko tuwadhaniavyo kama huyu!
 
Mkuu, Wengi wao hapo ni mitume na wavumbuzi, sasa hao unaotaja wewe ni wanasiasa tu hawana worldwide impact zaidi ya mchezo wa maneno!
huyo John F kennedy alifanya nini zaidi ya kuleta vurugu za kipumbavu tu dhidi ya Urusi, hivi kweli profile ya John F kennedy inaweza ikamfikia Mwalimu Nyerere, Mandela, Gamar Abdel Nasser, Menach Begin,Patrick Lumumba, Mohamed Ben Bera, Thomas Sankara na kina Mohamed Sekou Toure?
 
[QUOTEHGreenCity, post: 16107312, member: 86717"]Mkuu, Wengi wao hapo ni mitume na wavumbuzi, sasa hao unaotaja wewe ni wanasiasa tu hawana worldwide impact zaidi ya mchezo wa maneno![/QUOTE]
Adolf Hitler nae yuko kwenye kundi la mitume na wavumbuzi?
 
Back
Top Bottom