Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,052
Astakafirrullah laathim,Umejitahidi. but kuna mtu mmoja mashuhuri sana umemsahau anaitwa ALBERT PIKE huyo jamaa ni hatarii...
Now unavoona dunia inavoenda yeye ndo aliipangilia iende hivyo.
Kuna kitabu chake kinaitwa "MORALS AND DOGMA" tafuta sijui utakipata wapi hapa Tanzania. yaani huyu jamaa ni nooooma sana I think yeye na God ni mtu na mdogo wake, au ni mapacha