kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,710
Hiyo orodha nakataa kwa jins ilivyopangwa.Kuna watu weng tu wameachwa ambao ni wa muhimu zaid ya walotajwa hapo.
Halafu ingekua bora zaid kama ungeelezea mchango wa kila mmoja ktk dunia hii ili tujue thaman ya kaz yake na nafasi yake ktk orodha yako.