Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Hawa ndio waliofanya dunia kufika hapa tulipo

Ni upuuzi mtupu kumweka Jesus chini ya Newton!
Sio chini ya Newton tu,hata kumweka katikati na kumlinganisha na binaadam wa kawaida wasiyeojua hata nusu sekunde ya uhai wao ni upumbavu kabisa.
 
Namba 1, kweli kawafundisha watu kujilipua na kuua watu wasio na hatia!! Kuanzisha vikundi vya kigaidi, kulazimisha imani yake aliyobuni na kuiba vipande vya mistari kutoka kwingine....eti ndio ya kweli! !
HUjui unachokisema naamini ungalimjua vizuri mtume Mahammad S.A.W. usingethubutu kusema hivyo tatizo hujui. Msome umjue. Na waislam hawi muislam bila kumtukuza na kumuheshimu yesu A.S . Ewe mungu msamehe mja wako huyu hajui ukweli na mwongoze ajue ukweli.
 
Ni upuuzi mtupu kumweka Jesus chini ya Newton!
Sio chini ya Newton tu,hata kumweka katikati na kumlinganisha na binaadam wa kawaida wasiyeojua hata nusu sekunde ya uhai wao ni upumbavu kabisa.
 
no:3 ingetolewa tu hakuna wa kumlinganisha na yesu,
yesu ni wa jana,leo.kesho na ata milele.yupo na ambaye atakuwepo ata milele.
Hiyo list yote wamekufa kiroho na kimwili lakini yesu yupo hai daima
 
Namba 1, kweli kawafundisha watu kujilipua na kuua watu wasio na hatia!! Kuanzisha vikundi vya kigaidi, kulazimisha imani yake aliyobuni na kuiba vipande vya mistari kutoka kwingine....eti ndio ya kweli! !
hujamuona Hitlar unamuona yeye tu, ni andiko gani linalosema mtu akajilipue??? wakati anaexist katika sura ya hii dunia Mabomu yalikuepo?? au unaropokwa tu?? Roman Empire walikua hawakati watu vichwa namashoka?? kisa ukipinga tu kidogo?? Galileo na Martin Luther walitaka kufanywa nini kwaajili yakutokukubaliana??? No 3 ndo aliwatuma wakate watu namashoka kichwani??
 
Mbona watokwa povu ustaadhi ubeche!!... tafuta historia yake ....alikuwa anatunga mashairi yanayohamasisha watu kwenda kupigana bila kufikiri....!! kama hujui tulia!
 
HUjui unachokisema naamini ungalimjua vizuri mtume Mahammad S.A.W. usingethubutu kusema hivyo tatizo hujui. Msome umjue. Na waislam hawi muislam bila kumtukuza na kumuheshimu yesu A.S . Ewe mungu msamehe mja wako huyu hajui ukweli na mwongoze ajue ukweli.

Huyu mie nimesoma historia yake...alikuwa anapigana vita na aliua watu kwa panga!! au wewe husomagi maeneo hayo?....then kazi yake ya asili kama walivyokuwa mabedui wenzake ilikuwa kuhamasisha watu kwenda kupigana vitani bila kufikiri!!
 
The 100 Most Influential Persons in History by Michael H. Hart. A Ranking of the Most Influential Persons in History in 1978, which has sold more than 500,000 copies and been translated into 15 languages worldwide.

LISTI HIYO NI KAMA IFUATAVYO
1. Prophet Muhammad
2.Isaac Newton
3.Jesus Christ
4.Buddha
5.Confucius
6.St. Paul
7.Ts'ai Lun
8.Johann Gutenberg
9.Christopher Columbus
10.Albert Einstein
11.Louis Pasteur
12.Galileo Galilei
13.Aristotle
14.Euclid
15.Moses
16.Charles Darwin
17.Shih Huang Ti
18.Augustus Caesar
19.Nicolaus Copernicus
20.Antoine Laurent Lavoisier
21.Constantine the Great
22.James Watt
23.Michael Faraday
24.James Clerk Maxwell
25.Martin Luther
26.George Washington
27.Karl Marx
28.Orville and Wilbur Wright
29.Genghis Khan
30.Adam Smith
31.William Shakespeare
32.John Dalton
33.Alexander the Great
34.Napoleon Bonaparte
35.Thomas Edison
36.Antony van Leeuwenhoek
37.William T.G. Morton
38.Guglielmo Marconi
39.Adolf Hitler
40.Plato
41.Oliver Cromwell
42.Alexander Graham Bell
43.Alexander Fleming
44.John Locke
45.Ludwig van Beethoven
46.Werner Heisenberg
47.Louis Daguerre
48.Simon Bolivar
49.Rene Descartes
50.Michelangelo
51.Pope Urban II
52.'Umar ibn al-Khattab
53.Ashoka
54.St. Augustine
55.William Harvey
56.Ernest Rutherford
57.John Calvin
58.Gregor Mendel
59.Max Planck
60.Joseph Lister
61.Nikolaus August Otto
62.Francisco Pizarro
63.Hernando Cortes
64.Thomas Jefferson
65.Queen Isabella I
66.Joseph Stalin
67.Julius Caesar
68.William the Conqueror
69.Sigmund Freud
70.Edward Jenner
71.Wilhelm Conrad Roentgen
72.Johann Sebastian Bach
73.Lao Tzu
74.Voltaire
75.Johannes Kepler
76.Enrico Fermi
77.Leonhard Euler
78.Jean-Jacques Rousseau
79.Nicoli Machiavelli
80.Thomas Malthus
81.John F. Kennedy
82.Gregory Pincus
83.Mani
84.Lenin
85.Sui Wen Ti
86.Vasco da Gama
87.Cyrus the Great
88.Peter the Great
89.Mao Zedong
90.Francis Bacon
91.Henry Ford
92.Mencius
93.Zoroaster
94.Queen Elizabeth I
95.Mikhail Gorbachev
96.Menes
97.Charlemagne
98.Homer
99.Justinian I
100.Mahavira
I humbly submit

Mbona watu mnadanganyika kirahisi namna hiyo? Kwani binadamu ameanza kuishi lini kwenye hii Dunia mpaka hao ndiyo wawe wametufikisha hapa?
 
Sasa ndg kama hatuzungumzii Africa, hiyo Africa ipo dunia ipi?
Hao nyerere na mwenzake ni influentual afrika... hao waliozungumziwa hapo ni dunia.... najua umenielewa ila unajiwehusha tu
 
Hao nyerere na mwenzake ni influentual afrika... hao waliozungumziwa hapo ni dunia.... najua umenielewa ila unajiwehusha tu
Kweli ni shiida!!
Hao unaosema ni dunia wewe mwenyewe kuna wengine hukuwahi kuhisi utawaona hata kwa majina leo umekuwa togwa ...

Bila kutikisa huwezi kunywa ala!!
 
Kama John Kennedy yumo basi Mwl Julius Nyerere awepo.
Alitikisa na kusaidia kufa. kwa Ubaguzi wa Rangi AK.
Lilikuwa janga la dunia na kufa kwake kuli leta tofauti na mabadiliko ya uhusiano wa biniadamu diniani
 
Kweli ni shiida!!
Hao unaosema ni dunia wewe mwenyewe kuna wengine hukuwahi kuhisi utawaona hata kwa majina leo umekuwa togwa ...

Bila kutikisa huwezi kunywa ala!!
Hahaha.. togwa mkuu daah...
ila tukirudi kwenye mada...
madiba wamemu overrate... nyerere sawa
 
Einstein???! Umeme???! sio Faraday?

Scientists at Oxford University have reconstructed Einstein's invention in the hopes of developing an eco-friendly refrigerator that operates without electricity or moving parts.

Modern refrigeration uses compressed gases that are harmful to the environment.

The need for eco-friendly cooling technology is becoming more important given the demand by developing countries for air conditioning and refrigeration.

Replacing current technologies with energy efficient, green technology is why scientists are now resurrecting Einstein's invention.

- See more at: ALBERT EINSTEIN INVENTION
 
Very interesting
 
Back
Top Bottom