abdallah mbwana
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 203
- 190
Yesu awe chini awe kati, atabaki kuwa Yesu tu mkombozi wa ulimwengu,
Sijawahi ona mtu akitoa pepo kwa jina la Muhammad.
sawa baba mtumishi, mapepo, uchawi, umaskini, mimba, utajiri, nuksi vyote vinatoka kwa jina la Yesu. sisi hatumuombi Muhammad tunamuomba Mungu, Muhammad kaja kutufundisha tu jinsi ya kuabudu Mungu na dini yetu kwa ujumla, so bila shaka huwezi kusikia tukimuomba Mohammad atukidhi haja zetu