sasa sikiliza Heaven on earth tuache masikhara:
naomba na mm mara moja basi, hata kwenye hii fomesheni 4-1-9-stand mm sina nouma! sawa eehh!
usijali ma wiii haya Eli79 aliyasema kabla hajakupata wewe. ila sasa kesha dondoka kwako kwa mtoto mashallah, black beauty, shingo kama ya twiga mtoto soft hujui ma karolaiti wala ma krimu, mtoto laaniiiiiiiii utafikiri umetengenezewa udongo uliolowana..................softtttttttttttttttttt kama mto wa home shopping centre.
wallah Eli79 atafaidi autamu haya mweeeh!! kazi kwako TheDealer na kiwatengu
nini tena kiwatengu, juzi umenipa kipigo hadi nikazirai na ukanihurumia mwenyewe na kunipa tiba sasa na leo unakuja tena, nini bhana why me always?????? jamani hv mm sina haki ya kuishi huku CC, sasa unataka kunipiga tena? aaarrrrgggggg! bora mimisa tu angepokea moyo wangu najua haya mateso ya kufukuzwa na mgambo wa CC yasingekuwepo kabisaaa!
siku nyingine ukitoka uwe unawahi kurudi.....
kuna watu wanataka kujisevia mali za watu humu
we we we! ngoja nimuite Lady doctor afanye ile shughuli yake, naona kipindi kile hakukupitia
uwe una ni alert shemeji yangu...nimekupa kitu nadhani utakiona
I've had a handful
....and how many have u had?
na majirani tukisikia
haya kaa utulie na mpenzi wako Heaven on earth
si nilikuomba babe wangu...afu ukakubali jamani!
Achana na akina Lady doctor! Unanimalizia hela yangu, au hunipi? jibu swali! la sivyo nifanye vitu vyangu hadi Heaven on earth moyo wake unidondokee mm!
sasa sikiliza Heaven on earth tuache masikhara:
naomba na mm mara moja basi, hata kwenye hii fomesheni 4-1-9-stand mm sina nouma! sawa eehh!
nimekiona shemeji....
next time ntakuwaje fasta
mzima tu..sema kabanwa na majukumu ya kikazi ..ndo maana haonekani huku
Hapa Heaven on earth unawez kunambia pana nini hasa?