Hawa ndio wageni wa CC!

dada, uko pouwer?!??! usione kimya tulikuwa tunaengeneza kizygote na shemeji yako sosoliso.......

my wii Paloma heshima yako!!!!!!

wii Madame B tulikuwa tunagongana sana huku
mtaani lakin kwa sasa nimekaribisha home kabisa!!!!!!
Kaizer my shemeji !!!!
AshaDii nashukuru kufahamishwa

marhabaaaaa wifi yangu...........lol! yani mpaka ujue kuw amie ni wii wako ndo uniamkie!!! haya marhabaaa ya jana na leo Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:
dada, uko pouwer?!??! usione kimya tulikuwa tunaengeneza kizygote na shemeji yako sosoliso.......

marhabaaaaa wifi yangu...........lol! yani mpaka ujue kuw amie ni wii wako ndo uniamkie!!! haya marhabaaa ya jana na leo Heaven on earth

nisamehe kwa hilo wii,umbo lako hilo nikajua age mate wangu

msalimie sana sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…