Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

Hahahahaha aisee....

Mi namshukuru sana mtoa mada. Inbox ya PM imejaa list ya vimchuchu vinavyotaka ofa za mimi babukijana. Hakyamama ntakagua huu mwaka mpaka nikome

Hahaaaa
Katika ubora wako!!
 
Eeish, huu labda ni utani...sitaki kuamini kama ni unamaanisha kweli.
Mimi napendana na Mdakuzi bwana...

ha ha ha ha...uko wrong position..
niliwahi kuwa waziri wa haya maswala.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom