Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

wengine wamenuna na kutoa majibu ya keheli kwa ktoa mada kisa hawajatajwa kwenye orodha wakati walidhani wao ni maarufu....

kwa hiyo kutotajwa imekua sheeeedah

He kumbeeeee .....
 
wengine wamenuna na kutoa majibu ya keheli kwa ktoa mada kisa hawajatajwa kwenye orodha wakati walidhani wao ni maarufu....

kwa hiyo kutotajwa imekua sheeeedah

Hebu nenda chitchat huko nani kakwambia anataka kutajwatajwa hapa? Na hili iweje?
 
Mtoa mada hatimaye na wewe umekuwa maarufu, nilikuwa sikujui Gazaniga
 
Last edited by a moderator:
Hujui uhalisia wa watu, wakati naanza kusoma juu nikajua utakuwa unawafahamu watu personaly kumbe sivyo.

Umejitahidi.
 
Kiukweli kabisa, wengi siwajui ila kwa wale nimeshafatilia thread zao kwa umakini, nakubaliana na ww..unakipaji cha kufikiria
 
Kwa wanaojua Umbea wa mastaa hapo kwa mwenyekiti sipingi maan huyo ni balsa cjui ni kitu gani hajui kuhusu mastaa
 
Great minds discuss ideas, average minds discuss events and little minds discuss people.
Btw, misukule ya Lwasa ipo humu 24/7 umeshindwa hata kumsoma mmoja? wewe ni mdau wa MMU tu bila shaka hivyo ungesema kutokana na jukwaa la MMU.
 
nitashangaa kama waliotajwa hapo kwenye hizo categories watakenua meno kufurahia.
 
uma arufu wa kiwendawazimu shida yako watu washinde humu kupost shudu muda wote ili wawe maarufu.huna shughul za kufanya au

ww kuwa maaruf jf kuna kusaidia nn???
 
Leo ndio nimejiu kuna ID yenye jina hilo la mtoa mada, hongera kwa kujulikana kidogo ongeza bidii utakuwa maarufu na wewe.
 
Mbona yule mdau wa lugha gongana hujamuweka yupo category ipi hajuagi kuandika yule, ila inaonekana ni JF kitambo, jina lake linafanana na mwanamuziki.
 
matola,pdidy,dena amsa,mtambuzi,mchunguzi huru,da pretty,shy land,madam b,heaven sent,badiebay,mom fay,et al...wote sio maarufu we mtoa mada?
 
otoron'gong'o,the boss,rrondo,bigubire,tyta,chakii, kumbe nao hawajawa femous bado?duh!!!!
 
Kuna wengine wametajwa hapo, mmoja kwa tabia yake humu kama sexuality yake imeenda markhiti hivi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom