Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

dooh!!!! Nimesahaulika Jamani Yaani hata mimi wa enzi za JAMBO Nimesahaulika?
 
Kundi la Madame B, Asakute Same, Grafan11, Aveline Salt, etc sijaliona hapo.
 
Hekima ni moja ya nyenzo muhimu kwa muungwana katika kujua namna ya kuishi kwenye jamii ya watu mbali mbali...sisi tukiwa kama wanadamu tumetofautiana kwa vitu vingi sana...tofauti inayopelekea tuwe na mitazamo mbali mbali juu swala moja...lakini wenye hekima huwa hawachukizwi wala kukasirishwa na maoni ya wengine juu ya suala hilo hilo moja..kwani mwenye hekima anajua kuwa kutofautiana kimtazamo ni moja ya maumbile ya mwanadamu ambaye kiuhalisia hajakamilika....mitazamo tofauti ndani ya dunia hii ndiyo inayofanya ulimwenu ufikie hapa ulipofikia...ingekuwa watu wanafikra zilizofanana leo dunia isingepiga hatua za kisayansi na teknolojia....Lazima tujue kuwa lugha chafu si sehemu ya hazina za muungwana...kuna uwezekano mkubwa kuwa hata wewe watu wanayapinga sana maoni yako....lakini hawana budi kuyakubali kwa kuwa sisi ni tofauti na ndio maumbile yetu.....THINK BIG......
Well said mkuu.... Ukizingatia kuwa utamu wa maisha upo kwenye tofauri zetu..
 
Mtoa mada kama shilole anatafuta umaarufu tu.
 
Mweeeee!,mi sio maarufu wandugu,ila hata Mzee Mwanakijiji na Pdidy pia hawamo?,tena hao ni baadhi tu,ila wapo wengi sana aisee,huyu mtoa mada kweli kaja na staili mpya na ya kipekee kabisa ya kujitambulisha
 
Last edited by a moderator:
Kimsingi mtoa mada alitaka kuwa noticed, kachagua watu walio active lately humu kawaweka hapo, ni mtego tu. You sweat, he wins; you are cool, he wins.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom