Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

sasa unataka unielewe ili iweje ?
hao wazuri umetumia vigezo gani kuwajua hao ni wazuri ??

eti Madame S ni kweli wewe mrembo na unavutia ?
 
Last edited by a moderator:
Habarini

Usiniulize nimejuaje,huu ni mtazamo wenye asilimia nyingi za tabia zao halisi na nitawaweka kimakundi ikiwa wanafanana kitabia,na pia wengine wanafit sehemu mbili,naanza:-

■ Watoto wa mama wanaotumia JF kukomaa kimaisha

-Bull dog
-Paulo Sergio de souz
-BAK

Category hiyo ni majanga.
 
faiza Foxy ni sheeeeeeeeda, najiulizaga hiyo Profile Picture ndo mwenyewe halisi au??
 
Last edited by a moderator:
faiza Foxy ni sheeeeeeeeda, najiulizaga hiyo Profile Picture ndo mwenyewe halisi au??

FF ni pekee yupo kwenye category mbili ya hiyo list. Inakuonesha jinsi alivyo.

Hapana huyo kwenye avatar si mwenyewe, huyo ni heroine wangu Lisa Valentine alikataa kuvua hijab akakubali aende jela kuliko kuvuwa Hijab mahakamani.

Huyo ni mwanamke wa Kiislam ambae kwa ushujaa wake amefanya Serikali nzima ya USA ifikirie suala la Hijab na suala lake likawa mjadala mkubwa sana Marekani:

muslim_0911_HS04_1155745a.JPG
 
Ni PM picha yako mama nikuone japo once for life
 
Samahani sana, hilo haliwezekani.

Akinipa rushwa utanisamehe dada yangu. Ntakuwa sina jinsi.

Nalipa kisasi cha wewe kutonipenda kama zamani. Sijui umekula maharage ya wapi weweee

BTW bado nafanyia kazi ya kujukuu. Mabinti nawapa semina elekezi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom