Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Kumbe nawe huwa unatembeza BAN
Hatar sana
Kumbe nawe huwa unatembeza BAN
Kumbe nawe huwa unatembeza BAN
Eeish, huu labda ni utani...sitaki kuamini kama ni unamaanisha kweli.
Mimi napendana na Mdakuzi bwana...
Habarini
Usiniulize nimejuaje,huu ni mtazamo wenye asilimia nyingi za tabia zao halisi na nitawaweka kimakundi ikiwa wanafanana kitabia,na pia wengine wanafit sehemu mbili,naanza:-
■ Wanawake warembo/Wanaovutia saaana JF kwa mwaka 2015/2016
-Mahondaw
-Dinazade
-Madam S
-Farkhina
-Lucyline
■ Wanajamvi wakali wa Lugha ya kiingereza
-Kiranga
-Tyta
-OleSaidimu
-Ishmael
-Paulo sergio de souz
-Nyani Ngabu
-FaizaFoxy
■ Mlokole halisi
-Illovo (Mchungaji wa pentekoste)
■ Walokole kiasi(Vuguvugu)
-Tamalisa
-Pesa ndogo
-Anna Mwakalinga
■ Vichaa wa kuigiza na wasiojali (Dont care) na watoto wakiswahili ambao wakishika pesa wanawake watawakoma:
-Supu ya Mawe
-GENTAMYCINE
-Lukelo Sakafu
-Mapengo 17
-Kilaza
-Dog of god
■ Watoto wa mama wanaotumia JF kukomaa kimaisha
-Bull dog
-Paulo Sergio de souz
-BAK
■ WazeeVijana,hawa hawazeeki na hawapitwi na wakati:
-Asprin (anaweza akampeleka binti sehemu zote za kulia bata Tanzania hii)
-MziziMkavu (anaweza akatumia mambo yake flan flan kama kuigiza kiganga kiganga kuchukuwa watoto wazuri)
■ Wapenda pesa Maarufu na mapenzi ni dharura
-Miss chagga(yuko mwenyewe)
■ Wapenda pesa na starehe kwa ujumla
-Lara 1 (Mwenyekiti)
-Apologies girl
-Heaven on earth
■ Wenye majibu ya hekima na ushauri ila hawaeleweki saana kitabia
-Mamndenyi (Huyu sijui ni mwalimu ama Nesi? Sijui)
-KikulachoChako
-Ruttashobolwa
-Mimi
-MO11
-Kingkong
■ Wenye Misimamo mikuu wasioweweseka na wanaostick kwenye wanachokiamini tu:
-FaizaFoxy (Mwenyekiti)
-gfsonwin
-Mohamed Said
-Ally kombo
-Ishmael
■ Asiyefundishwa wala kudanganywa kuhusu Wanaume hapa chini ya jua na mwenye experience kupita kiasi:
-Marytina (yuko peke yake)
■ Wanaojua umbea wa Mastaa wote wa Bongo na kupenda bongo flavas na movies na wasiojali kuitwa wambea:
-Warumi(Mwenyekiti)
-Nifah(katibu)
-Dinazade
-Diva Beyonce
-Mzurimie
Kama haupo kwenye list hapo juu,jua bado hujawa famous JF, jitahidi.
Hatar sana
mmhmm makubwa sijui hawa sio mafamous akina yanani vile Mtambuzi , KakaKiiza, amu, Lady doctor, charminglady Mentor, mwallu, Maxence Melo, snowhite, ladyfurahia, na @Figanigga
hahahahaahahaa cousin me umaarufu ulishakwisha longtime sahivi ni kama mgeni tu humu lol!
Lady doctor njoo unitibu tafadhali sanahahahahaahahaa cousin me umaarufu ulishakwisha longtime sahivi ni kama mgeni tu humu lol!
Nawaza kimya kimya hapa, dhamira ya mtoa mada.
mmhmm makubwa sijui hawa sio mafamous akina yanani vile Mtambuzi , KakaKiiza, amu, Lady doctor, charminglady Mentor, mwallu, Maxence Melo, snowhite, ladyfurahia, na @Figanigga
Alotoa thread anatafuta kiki aisee Hii ndo jf ktk ubora wake km umaarufu unatafutwa hv itakuwa shida yupo wap Washawasha kwenye list?