Habarini
Usiniulize nimejuaje,huu ni mtazamo wenye asilimia nyingi za tabia zao halisi na nitawaweka kimakundi ikiwa wanafanana kitabia,na pia wengine wanafit sehemu mbili,naanza:-
■ Wanawake warembo/Wanaovutia saaana JF kwa mwaka 2015/2016
-Mahondaw
-Dinazade
-Madam S
-Farkhina
-Lucyline
■ Wanajamvi wakali wa Lugha ya kiingereza
-Kiranga
-Tyta
-OleSaidimu
-Ishmael
-Paulo sergio de souz
-Nyani Ngabu
-FaizaFoxy
■ Mlokole halisi
-Illovo (Mchungaji wa pentekoste)
■ Walokole kiasi(Vuguvugu)
-Tamalisa
-Pesa ndogo
-Anna Mwakalinga
■ Vichaa wa kuigiza na wasiojali (Dont care) na watoto wakiswahili ambao wakishika pesa wanawake watawakoma:
-Supu ya Mawe
-GENTAMYCINE
-Lukelo Sakafu
-Mapengo 17
-Kilaza
-Dog of god
■ Watoto wa mama wanaotumia JF kukomaa kimaisha
-Bull dog
-Paulo Sergio de souz
-BAK
■ WazeeVijana,hawa hawazeeki na hawapitwi na wakati:
-Asprin (anaweza akampeleka binti sehemu zote za kulia bata Tanzania hii)
-MziziMkavu (anaweza akatumia mambo yake flan flan kama kuigiza kiganga kiganga kuchukuwa watoto wazuri)
■ Wapenda pesa Maarufu na mapenzi ni dharura
-Miss chagga(yuko mwenyewe)
■ Wapenda pesa na starehe kwa ujumla
-Lara 1 (Mwenyekiti)
-Apologies girl
-Heaven on earth
■ Wenye majibu ya hekima na ushauri ila hawaeleweki saana kitabia
-Mamndenyi (Huyu sijui ni mwalimu ama Nesi? Sijui)
-KikulachoChako
-Ruttashobolwa
-Mimi
-MO11
-Kingkong
■ Wenye Misimamo mikuu wasioweweseka na wanaostick kwenye wanachokiamini tu:
-FaizaFoxy (Mwenyekiti)
-gfsonwin
-Mohamed Said
-Ally kombo
-Ishmael
■ Asiyefundishwa wala kudanganywa kuhusu Wanaume hapa chini ya jua na mwenye experience kupita kiasi:
-Marytina (yuko peke yake)
■ Wanaojua umbea wa Mastaa wote wa Bongo na kupenda bongo flavas na movies na wasiojali kuitwa wambea:
-Warumi(Mwenyekiti)
-Nifah(katibu)
-Dinazade
-Diva Beyonce
-Mzurimie
Kama haupo kwenye list hapo juu,jua bado hujawa famous JF, jitahidi.