Mbona na wewe hukuanzia jukwaa la utambulisho? Ndio kwanza tumekuina pa leo! Karibu dada.Bora tumkaribishe tu maana jukwaa la utambulisho hajaliona bado
Hahahahaha, haya basi....
bora umekubali mapema...
nitakuita sehemu baadae kidogo
Kila kitu home
Hee... na mie mgeni nikajitambulishe.Mbona na wewe hukuanzia jukwaa la utambulisho? Ndio kwanza tumekuina pa leo! Karibu dada.
Yeye hayupo hapo.
Dah asante sana kumbe naye amejiweka. Sikuelewa kuwa ni yeye.Yupo. Amejiweka kundi hilo hapo chini...
Wenye majibu ya hekima na ushauri ila hawaeleweki saana kitabia
-Mamndenyi (Huyu sijui ni mwalimu ama Nesi? Sijui)
-KikulachoChako
-Ruttashobolwa
-Mimi
-MO11
-Kingkong
Mmmh!!!!!!! napita mie.
Dah asante sana kumbe naye amejiweka. Sikuelewa kuwa ni yeye.
Malengo yake yasingetimia....
Hahaaaa
Katika ubora wako!!
Nakuona dogo... tukatumie basi hiyo mihela.