Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,787
- 37,993
Mweeeee!,mi sio maarufu wandugu,ila hata Mzee Mwanakijiji na Pdidy pia hawamo?,tena hao ni baadhi tu,ila wapo wengi sana aisee,huyu mtoa mada kweli kaja na staili mpya na ya kipekee kabisa ya kujitambulisha
anatafuta riziki mantashallah
mpwa kaibu hilo jina langu la kipendwa ukipenda mzee wa manati sasanaonaumeandikaaaawatusiomchezowe ninomasanaunatishampwaukitakakuwiwa nicheki calabashupate kitu rohonataka
