bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,998
Kundi la wapumbavu ambao hutaka kuanzisha threads ambazo hazina mashiko ili kutafuta umaarufu kwa nguvu.
We mtoto WA mama Tu, jiwe limerushwa liliempata limempata, na wewe limekupiga pabaya, pole
Kundi la wapumbavu ambao hutaka kuanzisha threads ambazo hazina mashiko ili kutafuta umaarufu kwa nguvu.
Kundi la wapumbavu ambao hutaka kuanzisha threads ambazo hazina mashiko ili kutafuta umaarufu kwa nguvu.
Kundi la wapumbavu ambao hutaka kuanzisha threads ambazo hazina mashiko ili kutafuta umaarufu kwa nguvu.
Ukiwa hukijui kitu hata asiyekijua utamwona anakijua tu.
Nawaza kimya kimya hapa, dhamira ya mtoa mada.
Kundi la wapumbavu ambao hutaka kuanzisha threads ambazo hazina mashiko ili kutafuta umaarufu kwa nguvu.
Powered by ujinga.
Ukiwa hukijui kitu hata asiyekijua utamwona anakijua tu.
Acha uzushi wewe!!! Watu wamepiga kura lini na wapi!? Acheni kuleta uzushi hapa wa kurukia watu ambao hamuwajui wala hamjui chochote kuhusu watu hao na kujibaraguza na threads zenu zisizo za mashiko kujifanya mnawajua ili kutafuta umaarufu kwa nguvu. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuandika uzushi kama huu. Threads kama hizi ndizo zinazochangia kuongezeka upumbavu hapa jamvini na kushusha hadhi ya JF iliyokuwepo miaka ya nyuma.