Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

Mtoto wa mama BAK nakusalimia tu.I hope uko poa
 
Last edited by a moderator:
Afu we binti........ FaizaFoxy wanaokuita ajuza, bibi au woreva watajiju..... si unijibu suali lanngu??? Au nilirudie?

Hawa wajukuu naruhusiwa kuwacharabanga vibao? Nna hasira kama za Jomo Kenyatta ujue....

Mikono yangu imejaa uchu wa ubabu....
 
We Gazaniga unahamu na jela si ndio eeeeee,maana kuna memba hapo amekunja sura kweli kweli.
Ila soon kuna mpya ntakuja nayo,sa sijui kama wengi wanaijua au la.
Wait... ... ... . . . ... . . . ..
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhahha nimecheka hakika umepata kazi Sana kutusoma humu wote hao umewezaje hahhaha haya bana
 
nitashangaa kama waliotajwa hapo kwenye hizo categories watakenua meno kufurahia.

Mimi nimecheka maana nimejiuliza n wapi alipotufaham mda alotumia asee imenibidi nicheke tu japo hayafrahishi dear.
 
anatafuta riziki mantashallah

mpwa kaibu hilo jina langu la kipendwa ukipenda mzee wa manati sasanaonaumeandikaaaawatusiomchezowe ninomasanaunatishampwaukitakakuwiwa nicheki calabashupate kitu rohonataka


Bwahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,sawa mpwaaaaaaaaaaaa
 
■ Vichaa wa kuigiza na wasiojali (Dont care) na watoto wakiswahili ambao wakishika pesa wanawake watawakoma:

-Supu ya Mawe
-GENTAMYCINE
-Lukelo Sakafu
-Mapengo 17
-Kilaza
-Dog of god

Kama haupo kwenye list hapo juu,jua bado hujawa famous JF, jitahidi.

Bado hujajua unachokifanya.
 
Maskiini!!!!!! team distance pole.




Wewe nipitie huku ila ukijifanya mpitaji sana kichura kitakuhusu. Alafu kule tunaenda unakilo ngapi???? mambo ya kwenda na viwekundu 7 sijui 10 havitoshiiiiiiiii.

We kazo yako ni kusema lini uko tayari.
 
Habarini

Usiniulize nimejuaje,huu ni mtazamo wenye asilimia nyingi za tabia zao halisi na nitawaweka kimakundi ikiwa wanafanana kitabia,na pia wengine wanafit sehemu mbili,naanza:-

■ Wanawake warembo/Wanaovutia saaana JF kwa mwaka 2015/2016

-Mahondaw
-Dinazade
-Madam S
-Farkhina
-Lucyline

■ Wanajamvi wakali wa Lugha ya kiingereza

-Kiranga
-Tyta
-OleSaidimu
-Ishmael
-Paulo sergio de souz
-Nyani Ngabu
-FaizaFoxy


■ Mlokole halisi

-Illovo (Mchungaji wa pentekoste)


■ Walokole kiasi(Vuguvugu)

-Tamalisa
-Pesa ndogo
-Anna Mwakalinga


■ Vichaa wa kuigiza na wasiojali (Dont care) na watoto wakiswahili ambao wakishika pesa wanawake watawakoma:

-Supu ya Mawe
-GENTAMYCINE
-Lukelo Sakafu
-Mapengo 17
-Kilaza
-Dog of god

■ Watoto wa mama wanaotumia JF kukomaa kimaisha

-Bull dog
-Paulo Sergio de souz
-BAK

■ WazeeVijana,hawa hawazeeki na hawapitwi na wakati:

-Asprin (anaweza akampeleka binti sehemu zote za kulia bata Tanzania hii)

-MziziMkavu (anaweza akatumia mambo yake flan flan kama kuigiza kiganga kiganga kuchukuwa watoto wazuri)

■ Wapenda pesa Maarufu na mapenzi ni dharura

-Miss chagga(yuko mwenyewe)

■ Wapenda pesa na starehe kwa ujumla

-Lara 1 (Mwenyekiti)
-Apologies girl
-Heaven on earth

■ Wenye majibu ya hekima na ushauri ila hawaeleweki saana kitabia

-Mamndenyi (Huyu sijui ni mwalimu ama Nesi? Sijui)
-KikulachoChako
-Ruttashobolwa
-Mimi
-MO11
-Kingkong

■ Wenye Misimamo mikuu wasioweweseka na wanaostick kwenye wanachokiamini tu:

-FaizaFoxy (Mwenyekiti)
-gfsonwin
-Mohamed Said
-Ally kombo
-Ishmael

■ Asiyefundishwa wala kudanganywa kuhusu Wanaume hapa chini ya jua na mwenye experience kupita kiasi:

-Marytina (yuko peke yake)


■ Wanaojua umbea wa Mastaa wote wa Bongo na kupenda bongo flavas na movies na wasiojali kuitwa wambea:

-Warumi(Mwenyekiti)
-Nifah(katibu)
-Dinazade
-Diva Beyonce
-Mzurimie

Kama haupo kwenye list hapo juu,jua bado hujawa famous JF, jitahidi.
vipi kuhusu pdidy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom