Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

Hawa ndio baadhi ya wanaJF na tabia zao halisi

Una mwezi mmoja kama na nusu hivi tangu ujiunge na JF.. Umewezaje kutambua tabia za watu wote hawa kwa muda mfupi au una I'd mbili??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kumbe watu wengine wanakesha na kuamkia humu kwa ajili ya kutafuta umaarufu kwa watu hata wasiokujua! Kazi tunayo wabongo, kutumia JF kuwa celebrity!! Mmmh!!
 
We mtetea ukikimbia unategemea mi jogoo ntabaki nakuangalia tu??? Ntakukimbiza mpaka kieleweke hakyamama....


Isije kua jogoo mchakura chini tu Ahaha... Shkamoo babu

.....napita zangu mie
 
FF ni pekee yupo kwenye category mbili ya hiyo list. Inakuonesha jinsi alivyo.

Hapana huyo kwenye avatar si mwenyewe, huyo ni heroine wangu Lisa Valentine alikataa kuvua hijab akakubali aende jela kuliko kuvuwa Hijab mahakamani.

Huyo ni mwanamke wa Kiislam ambae kwa ushujaa wake amefanya Serikali nzima ya USA ifikirie suala la Hijab na suala lake likawa mjadala mkubwa sana Marekani:

muslim_0911_HS04_1155745a.JPG
pwanikwetu

Soma hiyo post inajibu swali lako uliloniuliza.
 
Last edited by a moderator:
Habarini

Usiniulize nimejuaje,huu ni mtazamo wenye asilimia nyingi za tabia zao halisi na nitawaweka kimakundi ikiwa wanafanana kitabia,na pia wengine wanafit sehemu mbili,naanza:-

■ Wanawake warembo/Wanaovutia saaana JF kwa mwaka 2015/2016

-Mahondaw
-Dinazade
-Madam S
-Farkhina
-Lucyline

■ Wanajamvi wakali wa Lugha ya kiingereza

-Kiranga
-Tyta
-OleSaidimu
-Ishmael
-Paulo sergio de souz
-Nyani Ngabu
-FaizaFoxy


■ Mlokole halisi

-Illovo (Mchungaji wa pentekoste)


■ Walokole kiasi(Vuguvugu)

-Tamalisa
-Pesa ndogo
-Anna Mwakalinga


■ Vichaa wa kuigiza na wasiojali (Dont care) na watoto wakiswahili ambao wakishika pesa wanawake watawakoma:

-Supu ya Mawe
-GENTAMYCINE
-Lukelo Sakafu
-Mapengo 17
-Kilaza
-Dog of god

■ Watoto wa mama wanaotumia JF kukomaa kimaisha

-Bull dog
-Paulo Sergio de souz
-BAK

■ WazeeVijana,hawa hawazeeki na hawapitwi na wakati:

-Asprin (anaweza akampeleka binti sehemu zote za kulia bata Tanzania hii)

-MziziMkavu (anaweza akatumia mambo yake flan flan kama kuigiza kiganga kiganga kuchukuwa watoto wazuri)

■ Wapenda pesa Maarufu na mapenzi ni dharura

-Miss chagga(yuko mwenyewe)

■ Wapenda pesa na starehe kwa ujumla

-Lara 1 (Mwenyekiti)
-Apologies girl
-Heaven on earth

■ Wenye majibu ya hekima na ushauri ila hawaeleweki saana kitabia

-Mamndenyi (Huyu sijui ni mwalimu ama Nesi? Sijui)
-KikulachoChako
-Ruttashobolwa
-Mimi
-MO11
-Kingkong

■ Wenye Misimamo mikuu wasioweweseka na wanaostick kwenye wanachokiamini tu:

-FaizaFoxy (Mwenyekiti)
-gfsonwin
-Mohamed Said
-Ally kombo
-Ishmael

■ Asiyefundishwa wala kudanganywa kuhusu Wanaume hapa chini ya jua na mwenye experience kupita kiasi:

-Marytina (yuko peke yake)


■ Wanaojua umbea wa Mastaa wote wa Bongo na kupenda bongo flavas na movies na wasiojali kuitwa wambea:

-Warumi(Mwenyekiti)
-Nifah(katibu)
-Dinazade
-Diva Beyonce
-Mzurimie

Kama haupo kwenye list hapo juu,jua bado hujawa famous JF, jitahidi.

Mkuu leo nimepita huku, naona umenitaja pale, au kwasababu nilikupiga BAN mp??? bahati mbaya zaidi huwezi pata bahati ya kumfahamu Tamalisa, unataka nijaze thread za neno la Mungu ndio ujue nimeokoka???? pooleee weeee, pia huo ni mtazamo wako upo vizuri.
 
Mkuu leo nimepita huku, naona umenitaja pale, au kwasababu nilikupiga BAN mp??? bahati mbaya zaidi huwezi pata bahati ya kumfahamu Tamalisa, unataka nijaze thread za neno la Mungu ndio ujue nimeokoka???? pooleee weeee, pia huo ni mtazamo wako upo vizuri.

Kumbe nawe huwa unatembeza BAN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom