Hawa members wana muda gani hapa JF?

namimi ngoja nibuni thread yangu nione kama mtachangia.
 
Mi naomba mwongozo, kokudo iko jinsia ya he/she?
 
Kokudo nashkuru kwa maandalizi yako na nashkuru kukuona.ila mkeo sijamuona.na watoto..ama ni kweli nlioskia kuwa uko na jinsia mbili kama wasemavyo wenzangu.hahahahaaabariya asubuhi kokudo.
 
Kokuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
We kokuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Habari za Asubuhi waungwana, naomba mnijulishe leo harambe inaendelea kuanzia saa ngapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…