mi mtu mzima wifi hanipati kwa matusi ya kitoto.....hapa nacheka tu sema sipendi mtu amguse kaka yangu The Finest.....sipendi.....:hand:
Anaogopa mvua isimnyesheeMbona nimesoma thread nzima simuoni au ni aje
miss you too my dear...:hug:
Muache aendelee kuhangahikaAMERICAN'S WANNA BE IN jf......HEAVEN FORBID......HUYAWEZI DOGO!!!!
WANNA BE!!!!
Anaogopa mvua isimnyeshee
gud gal,ndo maana nimeridhia kwa kaka🙂 ila huyu kaka yako ni mnoko sana hope hutamsikiliza sana,,lol
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
Weeee unataka kumchukua bila kunifahamisha aisee tena kwa Michelle mimi ni mnoko kupita maelezogud gal,ndo maana nimeridhia kwa kaka🙂 ila huyu kaka yako ni mnoko sana hope hutamsikiliza sana,,lol
Aisee atakuwa ameenda kunywa kahawa si unajua ndio mida yake hiifinest umenionea switboy wangu???????????????
That is quintessentially Tanzanian...
"Empire State of Mind"...this too is quintessentially Tanzania...mweh!!!
Kakudo yaani kuchangia kote kule kwenye handbags za wanawake ni kazi bure?
na mimi hiyo wisdom yako ndo imenifanya nimpende kaka yako hata kabla ya kumuona.....huyu kaka TF akimjua kaka yako atatulia tu....ni ule woga wa wakaka nisijeumizwa tena...l.o.l