Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

Mkuu mbwa wako 11 sisi hapa home tuko watatu.. Chakula kinachobaki ni kidogo sana ama kisibaki kabisaaa...

Hiyo kuwapa chakula naona haiwezekani...
wape chakula kama kipo kisipokuwepo acha.

Umenikumbusha mbwa wetu "sebeya"

jamani mbwa ni kama mtu kasoro kuongea, nyumbani tulifunga mbwa kiukweli tulimpenda na alitupenda sana

mama akimwagiza kulinda nyumba alikuwa hawezi kutoka.

Mgeni akija mlango wa mbele atazunguka nyumba abweke tukitoka tu lazima tukute mgeni.

Usiku hakuna mtu alopita kwetu labda aite huko barabarani na mchana alikuwa hawezi kumthuru mtu bila kumpa amri.

Mama alimpenda sana, akiona uvivu kwenda porini kuangalia ng'ombe atamwambia sebeya nenda uwaone atakimbia akifika atakaa mlangoni kwa wachungaji baadae atageuza nyumbani. Akifika atakaa karibu na mama tatabweka na kutulia. Tukiwauliza wachungaji kweli wanasema alifika na kugeuza.

Tukifunga shule, kushuka barabarani tu sebeya atatupokea kwa kurukaruka yaani unaona kafurahi kasoro kuongea anajaribu kusaidia mizigo anashindwa, Na alikuwa hawezi kutusahau hata tumalize mwaka bila kufika home.

Ukienda kutembea kwa jirani anakusindikiza analala mlangoni mpaka utoke anakusindikiza nyumbani labda umwambie sebeya nenda nyumbani anatii na kuondoka.

Sebeya alikuwa hawezi kula chakula bila kumwambia kula au kukiweka kwenye beseni lake.

Walimwengu walikuja kumuua kwa kumwekea sumu kwenye chakula chake.

Tulimuuguza bila mafanikio, waganga wa mifugo walitibu wakashindwa, alikuwa analia kama mtu, sebeya mpaka anakufa tulikuwa nae karibu mpaka pale alipoaga dunia kwenye kijumba chake. Tulilia sana siku hiyo,

Alizikwa kwa heshima na aliwekewa shuka.

Sebeya tulianza kuishi nae akiwa mdogo mwaka 1994 mpaka hapo alipoaga dunia 2004.7.16. Jioni
Daima tutamkumbuka sana tulimpenda ila mungu alimpenda zaidi. Ni miaka 13 sasa tangu atutoke. Rip sebeya
 
Haka ka story kamenivutia sana japo kanasikitisha sana,Duuh!!R.I.P Sebeya.
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Kuna watu wana bahati ila wanaikataa. Wewe unapewe ulinzi bila malipo unalalamika? Unasema akija adui wanabweka na kumfukuza. Huoni hata hao watekaji hawatatia mguu kwako. Halafu mbwa ujua ni yupi mtu mwema na mbaya. Wanajua kunusa harufu zao. Charminglady wewe ni kati ya watu wema ndio maana mbwa wameamua kukupa ulizi
 
Ushawachunguza vizuri kuwa ni mbwa kweli? Usikute ni yule mama wa jirani kakosa mahali pa kupaki mafisi yake sasa kaona kwako pako patulivu ndo kaamua kuwaweka hapo.
 
Luna kitu wanapata apo chakula au harufu, kama wanalala nje basi wanakusaidia ulinzi ila wakianza kuingia ndani apo tia shaka
 
Mbona makonda kasema Dar yote ipo salama! Sasa hao mbwa wametoka wapi tena mpaka wanahatarisha amani yako?
Inabidi utoe taarifa kwa Makonda
 
Sasa uwaondoe kwa kosa gani,walau ungesema labda wanakufanyia fujo ama wanachafua mazingira lakini kama hawafanyi hayo waache viumbe wa mungu wajistiri,alimradi asubuhi wanasepa,huenda ukapata barka fulani na wewe kwa huruma yako.
 
Mkui kule kijijini mbwa wakikusanyika kwako ni ishara ya kifo katika ukoo wako-sijui mijini itakuwa ishara ya nini???
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Ukiona wanyama wanakupenda iyo baraka na inaonyesha ww ni mtu mwema sana
 
Hahahaaaaaaa
Hiyo ndo tabia ya mbwa, ingekuwa paka au ng'ombe au hata nguruwe wasingefanya hivyo. Inawezekana kuna chochote wanapata hapo kwako, mfano mabaki ya chakula, na wewe unacheka nao pasipo hata kuwatupia jiwe.
vumilia, mbwa ni rafiki si wabaya.

View attachment 493082
Uzuri wa paka sio wanafki,hawana shobo zisizo na mpangilio.walishe uwezavyo lakini usidhani watakupapatikia.na paka ni miongoni mwa viumbe wanaojiwanaojidomesticate wenyewe,akipapenda kwako akaona maslahi yapo anahamia mdogomdogo,nikama demu anavyohamia kwenye geto la msela.kwanza ataacha chupi then pea ya kiatu ukija kutahamaki kaleta begi.na paka vivyo hivyo
 
Mkuu sio paka ni mbwa, kweli bana alianza mbwa na mamake kadri siku zinavyokwenda naona wanaalikana. Sasa sijui huwa wanapitiana toka huko watokako?

Ikifika jioni naona wanaanza kupitapita kama wawili watatu giza likiingia wanaongezeka kidogo kidogo mpaka wanafika kumi na kitu....
 
Mbwa na paka lao moja
 
Labda ungetueleza kwanza kinachokukera kwa hao Mbwa kua nyumbani kwako ni kipi hasa?

Vipi kama ingekua ni Mbuzi ndio wanakuja kwako ungeona ni poa tuu? au tatizo ni Mbwa tuu?
Mkuu nimecheka sana maana kuna thread humu inazungumzia mbuzi wakulandalanda ambao wengi wao ni mbuzi watu sijui wametupiwa majini sidhani kama angelala usiku angehama na kuwaachia mji wake hao mbuzi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom