Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

Waache tu wakulinde. Mbwa ni mlinzi mzuri kuliko binadamu mwenye bunduki, unachotakiwa kujua n mibweko yake tu.
 
Ila hao mbwa wakoje?ni wale wachafu chafu wenye vidonda masikioni hadi wanaleta nzi? Kama sio type hiyo waache tu hao walinzi.....
Mi hapa Kwangu kajisogeza paka yani sipendi sasa Kazaa na kuzaa ndo nmechoka inabidi tu sasa niwape msosi.... Yani watoto wakikua nitakavowatimua kwa maji ya moto hawataamini

Shostito... Hawa mbwa ni wazuru ndio maana nashindwa hata kuwapiga manati.

Wana miili mizuri kama vile wanatunzwa mahali. Ngoja nitegee tegee wakijipitisha niwapige picha
 
Wale ndugu zangu wa Kanda ile naomba pasaka hii mje muwachukue hawa mifugo maana ni wanono mnooo...
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Mi siwafugi, ila huwabebea mabaki ya Chakula kila nipatapo nafasi. Mida ya saa sita hivi, huwawekea mabaki hayo nje. Basi ishakuwa ni tabia yao, usiku huwa hapo kwangu kibao. asubuhi wanaondoka. Napata japo kaulinzi kimtindo.
Nakushauri usiwafukuze wala kuwapiga, wanakusaidia kwa mengi hao. Na kizuri zaidi nyote mnaokaa nyumba hiyo wanawafahamu na kuwaheshimu.
Wapende tu.
 
Shostito... Hawa mbwa ni wazuru ndio maana nashindwa hata kuwapiga manati.

Wana miili mizuri kama vile wanatunzwa mahali. Ngoja nitegee tegee wakijipitisha niwapige picha
Jikabidhishe kabisa kumbe wasafi.....
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Kama hawakudhuru waache, ni walinzi wazuri. Kila jambo lina wakati wake. Utashangaa baada ya kuwaondoa unapata balaa la ajabu, ukakosa tafsiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom