Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

Hawa mbwa siwaelewi kabisaaaa

Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Mi nachojua mbwa na Mchawi hawapatani sasa jitathmini upya.
 
Hao ni walinzi wazuri usiwafukuze tena wapeni chakula waendelee kukulinda iko siku moja utajua umhimu wao
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Mmmh inamaana yule jiran yko lile kabila wanapnda kujinyonga ameshahama?
 
Kama hakuna mabaki ya chakula yanayowavutia basis waache usiwabughudhi huenda n mizm ya kwenu inakulinda
 
Habari wanajamvi,

Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu

Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.

Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.

Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.

Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa

Wenu

CL
Acheni kunya nyuma ya nyumba, wataondoka wote
 
Ongea nao taratibu tu watakuelewa . hawana tabu hao.
 
Hapo umenena, sasa fanya mpango wa usafiri
Ila hao mbwa wakoje?ni wale wachafu chafu wenye vidonda masikioni hadi wanaleta nzi? Kama sio type hiyo waache tu hao walinzi.....
Mi hapa Kwangu kajisogeza paka yani sipendi sasa Kazaa na kuzaa ndo nmechoka inabidi tu sasa niwape msosi.... Yani watoto wakikua nitakavowatimua kwa maji ya moto hawataamini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom