Charminglady naamini ukipunguza tu ucharming wataondoka wenyewe, wanapenda kuja kwako sababu wanapenda ucharming wako.
Mkuu sasa nitakuwaza kwa ID yako ya jf au?
Aiseee... Umesema kweli mkuu, yaan huwa nawafukuza shhhshssssss wanaenda kisha wanarudi.
Hebu ngoja nijaribu ukauzu, labda ninunue manati ili niwe nawalenga et eeeh...
Hata kuniwaza kwa ID yangu inatosha japo natisha.
nji ya kuwaondoa rahis tafuta elfu tatu mia tatu nunua mapaja mawili ya kuku yakate kate paka ile ya panya wapeHabari wanajamvi,
Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu
Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.
Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.
Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.
Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa
Wenu
CL
Kumbe asubuhi wanaondoka? Acha hao mbwa usiku ni walinzi wako siku ukiwaua siku hiyo utatekwa na kuibiwa. Waache chakula kikibaki wewe wape.
Mkuu una bahati sana.Habari wanajamvi,
Hapa kwangu huwa sifugi mbwa wala mfugo wowote, sasa basi walianza mbwa na mama yake wakawa wanalala mbele ya nyumba yangu
Kadri siku zinavyoendelea wanaongezeka, mpaka sasa ninavyoandika wamefika mbwa 11. Wamajilaza tu mbele ya nyumba yangu.
Kinachonishangaza hawaendi nyumba za jirani ni kwangu tu, huwa wanazunguka zunguka usiku kama kuna kitu watabweka kama hakuna wanalala tu usiku kucha, asubuhi wanaondoka. Ikifika mida ya saa 1 jioni wanaanza kuja.
Nikiwafukuza wataondoka lakini baada ya muda watarudi.
Hebu nisaidieni njia ya kuwaondoa
Wenu
CL
Stak kusema mieDuh kuna mmoja anatabia hio kwangu, ni wa next door lakini ikifika usiku anakuja kulala nje kwangu.
Una vituko balaa,Nenda na kirikuu ukawachukue....
Hahahahahahaa hapana bana ukauzu sio asili yako you are just unique the way you are.Aiseee... Umesema kweli mkuu, yaan huwa nawafukuza shhhshssssss wanaenda kisha wanarudi.
Hebu ngoja nijaribu ukauzu, labda ninunue manati ili niwe nawalenga et eeeh...
Nini maana ya kugegedana? MkuuNapenda mbwa kuliko mnyama yeyote. Kuna mda huwa nawaona kama ni binadamu wenzangu. Natamani hao waje home kwangu. Kusiwepo tu na jike maana hawana aibu siku zao zikifika wanagegedana popote pale
hahahahah, Mwanamayu, mimi pia nina kesi kama ya charminglady, siku hiyo kukawa na mkutano wa mtaa, ilipofika agenda ya mengineyo, nikanyoosha mkono nikaruhusiwa, nikatoa hoja kuwa kuna mbwa wanazurura ovyo na pia kwangu nina kero kuna mbwa wengi wanalala hapo kwangu: sikiliza jibu nililopewa na mheshimiwa mwenyekiti wa mtaa:Katoe taarifa kwa mwenyekiti wa mtaa.