Hawa hapa Wabunge wapya watakaoiwakilisha Tanzania EALA

Huyo unayemsema ni CEO wa National College of Tourismna pia ni Lecturer wa mambo ya Tourism and marketing management OUT anaitwa Shogo Mlozo Seyodeka amechaguliwa amepita wangemuacha kila mtu angeshangaa.

Huyu Angela Kizigha ni mtu legend huko CCM toka enzi za Nape katibu muenezi akamkata jina akamuweka mkwe wake. Nadhani inabidi apumzike sasa mama Kizigha maana kama ni pesa anayo ya kutosha.
Yap mama yake ni Queen Mlozi alikuwa katibu mkuu wa UWT na former DC baba yake ni prof Mlozi wa SUA
 
  • Ndg. Angela Charles Kizigha
  • Ndg. Nadra Juma Mohamed
  • Dkt. Shogo Richard Mlozi
  • Dkt. Abdullah Hasnu Makame
  • Ndg. Machano Ali Machano
  • Ndg. Mashaka Halfan Ngole
  • Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba
  • Ndg. James Kinyasi Millya
  • Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
View attachment 2364755
Mbona Wakili Msomi na Mwandishi wa Habari Mwandamizi na muomba Michango JamiiForums nzima ambaye Moyoni ni CHADEMA, ila Usoni ni mwana CCM hujamuweka katika List yako wakati nae yuko?
 
Watajiwakilisha wao tu huko

Hao wote waliyochaguliwa,hawana uwezo w kusimama na kujadiliana
Mambo kadhaa na wakenya au warwanda na waganda

Ova

Bora hata nchi ya Tanzania wangeenda kimkakati kuhusu aina ya watu wanaofaa kuwa wabunge wa EALA kwa kumchagua mdau wa chama cha wenye maroli kaliba ya kina Zacharia Hanspope (rip) wajadili matatizo ya biashara za kuvuka mopaka , rais wa TLS kaliba ya Fatma Karume changamoto za mikataba / sheria za kikanda, rais wa chama cha madaktari masuala ya magonjwa , rais wa ma engineer kupata tenda za ujenzi Kenya n.k wangeweza kutuwakilisha vizuri badala ya 'wanasiasa'
 
Yaani CCM na wingi wao wameshindwa kumpa Addo Shaibu Katibu mkuu wa CHAMA mshirika wao ACT?
Kweli CCM haina urafiki hata kidogo na hili lazima liwe fundisho kwa mzee wa Ngogwe Zitto kuwa tamaa mbele mauti nyuma.


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
@Zitto hawezi kujifunza, muhimu yeye ni mambo safi kupitia ccm
 
Back
Top Bottom