Hawa hapa Wabunge wapya watakaoiwakilisha Tanzania EALA

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,303
6,858
Yaani CCM na wingi wao wameshindwa kumpa Addo Shaibu Katibu mkuu wa CHAMA mshirika wao ACT?
Kweli CCM haina urafiki hata kidogo na hili lazima liwe fundisho kwa mzee wa Ngogwe Zitto kuwa tamaa mbele mauti nyuma.


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mkuu umesahau walivyo mfanyia marehemu Lyatonga? Mzee alilia wakamtupia parole board. Hawana urafiki hao.
 

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
7,323
10,365
  • Ndg. Angela Charles Kizigha
  • Ndg. Nadra Juma Mohamed
  • Dkt. Shogo Richard Mlozi
  • Dkt. Abdullah Hasnu Makame
  • Ndg. Machano Ali Machano
  • Ndg. Mashaka Halfan Ngole
  • Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba
  • Ndg. James Kinyasi Millya
  • Dkt. Ngwaru Jumanne Maghembe
View attachment 2364755
Ukitumia akili ya kuzaliwa utajua kuwa hii list imetoka ikulu kwa mama wa ushungi
 

endesha

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
1,010
1,261
Kuna yule Mmama Doctor na CEO Sijui wa wapi na pia ni Lecturer sijui.

Very Smart kichwani,ila katoswa kwa sababu gani sijui.Yule angeweza mijadala kwa Jinsi nilivyomsikia akijinadi
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
12,221
46,628
Hili liwe somo kwa vyama vyakujipendekeza, CCM kwenye maslahi yao hawataki ndoa, kila mmoja afe kivyake.
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
16,544
17,715
Unakijua kinge au unakisikia?


Kazi kweli kweli hata wasomi wetu wanashindwa .

Lini wanasheria waTanzania wanaweza kuruhusiwa kuwa mawakili wa mahakama kuu za Kenya, nini tatizo mawakili wetu hawawezi kuruhusiwa kuingia 'Bar' Kenya lakini kina LPO Lumumba wao wana leseni ya kutetea mteja ktk mahakama kuu za Tanzania. Tatizo ni nini ? Viwango, lugha au fursa mawakili wetu hawazioni ?

African Academy of Sciences
https://www.aasciences.africa › fellow
Patrick Loch Otieno Lumumba | The AAS - African Academy of Sciences

Prof Patrick Lumumba is an eloquent Kenyan legal practitioner and an Advocate of the High Courts of Kenya and Tanzania.


EALA MPs criticize Kenyan decision barring Ugandan law students from enrolling for Kenyan bar course

Members of the East African Legislative Assembly have spoken out against a decision by Kenya School of Law to block non-Kenyans admission for the bar course in Kenya. On 17th November, the Director of Kenya School of Law issued a directive to that effect but the EALA representatives say this is not in the spirit of East African integration. Francis Jjingo filed this report from Nairobi Kenya where the regional assembly is currently in session.
Source : NTVUganda
 

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,130
9,385
  1. Ndg. Ansar Abubakar Kachwamba.......!!!!!!!?
Hii nchi bado haijapata uhuru....niishie hapa nisije kufuru Bure! Kwanini tusikubaliane kuwa hii nchi ina Koo za Kifalme ambazo hadi vitukuu wanapewa keki ya taifa bureeee! ISIS, Boko Haram nk ni matokeo ya huu ujinga!
 

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
2,069
2,264
Kuna yule Mmama Doctor na CEO Sijui wa wapi na pia ni Lecturer sijui.

Very Smart kichwani,ila katoswa kwa sababu gani sijui.Yule angeweza mijadala kwa Jinsi nilivyomsikia akijinadi
Huyo unayemsema ni CEO wa National College of Tourismna pia ni Lecturer wa mambo ya Tourism and marketing management OUT anaitwa Shogo Mlozo Seyodeka amechaguliwa amepita wangemuacha kila mtu angeshangaa.

Huyu Angela Kizigha ni mtu legend huko CCM toka enzi za Nape katibu muenezi akamkata jina akamuweka mkwe wake. Nadhani inabidi apumzike sasa mama Kizigha maana kama ni pesa anayo ya kutosha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

9 Reactions
Reply
Top Bottom