Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

Hilo linatokea sana katika life but controlling our sexual desires and social responsibilities ndio chachu ya contradiction mpaka wadau wanaangukia huko! Anyway when i get married and live for a while with my wife ntakuja kuedit hii comment yangu coz nitapata reasons nyingi
Shut Up..... I said i will get married when i want
 
Nadhani si halali na ni kujiendekeza, utampendaje mtu asie mumeo au mkeo?

Bora ungesema kutamani.

Ni tabia mbaya na ni ushenzi, fullstop

Hahahaaa hahahahaaaaaaaa looh
 
Nadhani kumpenda huwezi, ila ni kumtamani. Mumeo/mkeo utampenda zaidi (of course kama hamna mikwaruzo kwaruzo mikubwa) maana upendo una mazoea ya kuongezeka jinsi mnavyoishi pamoja mda mrefu. Kuna behaviours na interest zinaclick zinafuta tofauti zenu taratibu na kuconsolidate upendo through mazoea.
 
Muanzisha uzi hilo suala hutokea na usijali haupo peke yako

Usiniulize nimejuaje kwamba mhusika ni wewe

Jambo la msingi, usimvunjie heshima mumeo ktk baada ya kuingia kwenye huo ulimwengu

Wahenga walisema, "mwanangu kuwa uyaone" ndiyo hayo sasa

Though ni mtihani wenye hatari nyingi na kubwa
 
Wanawake wanaweza maana kuna mke wa mtu hapa ananipendaaaaa hadi anataka kufa, yuko tayari hata kumuacha mume wake sema nampiga biti kwamba sina mpango wa kuoa.

Hapo ndio huwa wanawake wananiacha hoi.
 
Let me answer on his behalf please, YES and that person is The Boss another one ....... dash dash

What up Kasie babe...TGIF!

I think I know who that other one is....

I think it's none other than the legendary..the incomparable....the often imitated but never duplicated...the he-man himself...the Maharishi....but for now he shall remain unnamed:becky:.
 
Ni the other way round bana. Au ndio kuchanganyikiwa nini?

Ninastruggle na situation kama hii sasa hivi. My heart is saying lets go but my mind says there comes trouble[/QUOT

The problem with yu is that; yu can not differentiate between your mind and your heart. It is the mind that is telling yu to go but your heart tells yu that trouble is coming,,,,. Listen to your heart. Do not go.
 
mambo mengine tunajiendekeza tu, mtu umeoa au umeolewa eti Leo umempenda mwingine ni kujiendekeza tu yan vitu vingine tunaweza kuvizuia. Tatizo watu wengi mmeeka mapenzi kipaumbele.
 
Mnh nimesoma stori jana eti Dona Karan wa fashion label DKNY kwa muda wa miaka 16 akiwa na ndoa na mumewe Karan, alikua na uhusino na hata kusex na jamaa mwingine she calls the love of her life...later wakaja kuoana dah....I reality inatokea.....inauma sana kwakweli.
 
"this is because mankind is not monogamy in nature,you can love two men equally at the same time",tafuta nyimbo ya mary macgregory inayoitwa "torn between two lovers"utajua nini namaanisha!
 
Am Good pumpkin, ...........TGIF.....!!?????????
U think you know the other one but you don't, ask The Boss he will tell you the other champ who is madly in love with a lover and at home he loves his wife and children badly.
It's better for him to remain un-named until then....
Msalimie huyo jirani yako hapo.
Kasie.

What up Kasie babe...TGIF!

I think I know who that other one is....

I think it's none other than the legendary..the incomparable....the often imitated but never duplicated...the he-man himself...the Maharishi....but for now he shall remain unnamed:becky:.
 
Last edited by a moderator:
Wanasema if you love ❤ a person other than your spouse, marry the second one. Since if you loved your spouse you wouldn't have fallen for another person
 
Uhiiii topic imenigusa. Lakin macho yaone roho ishinde tamaa.
 
Back
Top Bottom