red apple
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 780
- 1,216
Bora hata hiyo...unaweza ukafall kwa mtu hata hujawahi kumuona, mnachat tu. Sijui ni ugonjwa gani huu
Hii ni kweli... Unakuwa unatamani tu sms zake...!
Bora hata hiyo...unaweza ukafall kwa mtu hata hujawahi kumuona, mnachat tu. Sijui ni ugonjwa gani huu
Ana wivu sana ila ananiamini pia. Ntajitahidi kujirekebisha my dia ili nisimkwaze zaidi
du!..believing a lie!
..wivu sana na kukuamini haviwezi balance kwenye mzania mmoja!...kamwe!
Tafakari!
We mnduku unabwabwaja porojo sana..
Wanasema if you love ❤ a person other than your spouse, marry the second one. Since if you loved your spouse you wouldn't have fallen for another person
Mimi Binafsi am dating a married man ananipenda sanaa me mwenyewe hadi naogopa ashaniambia nikimuacha atani🔫🔫🔫 ingekuwa ni kunitamani angeshaniacha ni zaidi ya miaka miwili sasa. So inatokea kumpenda mtu nje ya ndoa na inategemea pia mahusiano yenu ndani.
Msininange basi nimetoa ya moyoni😭😭

Huyo mwanaume shukuru tu sio wa kwangu mana ambacho ningekufanya ni heri ya 🔫🔫 🔫
Kama angekuwa anakupenda kweli angemuacha mkewe akakuoa wewe ila huyo bado anampenda sana mkewe.
Hizo guns zinamuhusu mumeo, deal na mumeo maana yeye ndio mwenye makosa.
Anajua ana mke na bado anatongoza nje.
Always mumeo akiwa na mwanamke mwingine nje,ujue kuna sehemu umekosea. Ana kosa kitu ndani, ndio maana anatafuta nje.
hahahahahahaha.....b!tch pls!...unataka kuwa kwenye shitlist yangu?
Ama kimvua hiki,ur thinny ugly ass kinahitaji ma big black dick?!
Andaa pampers kabisa!
Tafuta wako kabla haujamalizwa na mkewe. Angekuwa anakupenda wewe zaidi ya mkewe angeshamuacha na kuwa na wewe na kusahau yote waliyonayo au waliyoyajenga pamoja na kuanza nawe au kuhama na nusu yake.
Usijidanganye utaumia bure.