Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

Mi sijui kama ni mapenzi au vipi ila namzimia muigizaji flani (toka latin America) mpaka basi
 
Alejandro......haha haaa
inaitwa infatuation .....tafuta Alejandro wako wa kibongobongo

Yaaani nampenda mpaka hubby anajua, jina lake la ukweli anaitwa William Levy ni raia wa Cuba,
Kila akirudi ananikuta namuangalia kwa You tube mana tv za hapa hawaonyeshi tamthilia za kilatin.
 
Yaaani nampenda mpaka hubby anajua, jina lake la ukweli anaitwa William Levy ni raia wa Cuba,
Kila akirudi ananikuta namuangalia kwa You tube mana tv za hapa hawaonyeshi tamthilia za kilatin.

Kazi unayo....
 
Tena sio ndogo lol

Siku ukikutana nae ghafla si utajikuta unakuwa wet kwa handshake tu?

Wapo watu unakutana nao unashangaa anatetemeka baada ya handshake..
kama ni semina mkoani mnahamia room tu
 
Siku ukikutana nae ghafla si utajikuta unakuwa wet kwa handshake tu?

Wapo watu unakutana nao unashangaa anatetemeka baada ya handshake..
kama ni semina mkoani mnahamia room tu

Ha ha ha ila sidhani kama itakuwa hivyo.
 
so what happen with you friend loving another man?....mbona kama wewe ndiye muhusika mkuu?....au unataka nikuulize...pilipili usoila yakuwashia nini?
 
though is not good at all but it happen
na sababu kuwa ya kumpenda mtu ni vile ambayo anakuwa anaishi daily life
kwa mfano wanaume/wanawake wengi siku hizi hawawezi nunua zawadi kwa ajili nya spouse zao
binadamu tupo tofauti sana kile anachopendelea mwenzio ktk maisha fanya fanya fanya usichoke hata maisha yako yote
fanya ,inatokea kwa sababu inafika muda mwenzio anakosa vitu anavyopenda
tafuta picha moja inaitwa temptation,confesions of marriage
mume anasahau birth date ya mke,lakini kazini watu wengine wanamuandalia zawazi,maua nk nk...........tafuta......utaelewa kwa nini?
 
Yaaani nampenda mpaka hubby anajua, jina lake la ukweli anaitwa William Levy ni raia wa Cuba,
Kila akirudi ananikuta namuangalia kwa You tube mana tv za hapa hawaonyeshi tamthilia za kilatin.

daah kama mumeo ana wivu utakua unamkwaza sana
 
so what happen with you friend loving another man?....mbona kama wewe ndiye muhusika mkuu?....au unataka nikuulize...pilipili usoila yakuwashia nini?

am so concerned because she has been seeking advice from me about the situation, kuna tatizo?
 
Na vilevile inaweza kutokea unampenda mtu ila huwezi kuwa nae kwa sababu fulanifulani.....natamani nipone huu ugonjwa
 
Back
Top Bottom