Anonymous
Senior Member
- Apr 6, 2006
- 129
- 359
Habari,
Hivi imewahi kutokea ukampenda mtu mwingine, sio kumtamani, namaanisha ukampenda while you are in marriage? And why this happens, a friend of mine happened to love another man mbali na mume wake, and she was really confused, kiukweli nimejikuta tu natamani kushare huu uzi hapa pengine kuna watu wamekutana na situations kama hizi, though inakua ngumu kuamini kama ni kupenda au ni kutamana.
Karibuni