Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

My mom.
Before and after marriage.
She is my No.1 love.
No one can take her place.
 
mkuu unaishi wapi..Hivyo vitu wenye jamii mbona sana tu...

Mara nyingi ni kutamani na sio kupenda mkuu...mtu anamwona Mwanaume siku moja tu hata tabia zake hazijui eti anampenda...I think Love is wider than just lust.
 
Nadhani kumpenda huwezi, ila ni kumtamani. Mumeo/mkeo utampenda zaidi (of course kama hamna mikwaruzo kwaruzo mikubwa) maana upendo una mazoea ya kuongezeka jinsi mnavyoishi pamoja mda mrefu. Kuna behaviours na interest zinaclick zinafuta tofauti zenu taratibu na kuconsolidate upendo through mazoea.

Naamini upo sahihi zaidi mkuu,kupenda ni kupana zaidi maana mpk umfahamu mtu vizuri kitabia,likes n dislikes zake,interests na hobby, na kuzidi kumpenda.

Hiyo nyingine ni Kumtamani tu baada ya kumwona.
 
Wanasema if you love ❤ a person other than your spouse, marry the second one. Since if you loved your spouse you wouldn't have fallen for another person

Wazaramo wanasemaga 'zilongwa mbali,zitendwa mbali'
 
Hili swala lipo sana....
Kuna baadhi ya watu walioa au kuolewa kwa bahati mbaya/ kwa fashion baadae wanakutana na wanaowapenda...
Ama kuna baadhi ya watu waliolewa/walioa wakiwa wadogo then baadae wanapata akili za kiutu uzima....
 
Mimi binafsi nimeshwawahi kupendwa na mke wa mtu, mpaka akataka kua chizi...
 
No such a thing. Mwambie hizo alizonazo anadhani ni love ni tamaa za mwili tu . Na kama anabisha amuache huyo mumewe aende kwa jamaa...then after 6 moths or 1 year alete majibu hapa
 
No such a thing. Mwambie hizo alizonazo anadhani ni love ni tamaa za mwili tu . Na kama anabisha amuache huyo mumewe aende kwa jamaa...then after 6 moths or 1 year alete majibu hapa

Sawa mkuu,matokeo vipi lakini?
 
Back
Top Bottom