Na vilevile inaweza kutokea unampenda mtu ila huwezi kuwa nae kwa sababu fulanifulani.....natamani nipone huu ugonjwa
Hii ni point kubwa sana.ndio maana we don't marry because of love kuna some other reasons .huwa inatokea tunapenda zaid ya mara moja,ingekuwaga tunapenda mara moja tu wale walikwishaga kututenda wangetutesa sana moyoni.cha msingi ni kujifunza kuucontrol moyo cause ni mdanganyifu ukitaka utekeleze kila unachofeel moyoni ni hatari sana.wengine huku wakiwa wakweli watakubali walishawai kupenda hata shemeji zao kabisa na sio kuwatamani kuwapenda kabisa
matokeo yapiSawa mkuu,matokeo vipi lakini?
Miss u my witness. Lakini Nina Furaha na kazi tuliokuwa tunaifanya tumeimaliza.Uhaaaaaa haaaaa ibra wewe!...
Miss u my witness. Lakini Nina Furaha na kazi tuliokuwa tunaifanya tumeimaliza.
"this is because mankind is not monogamy in nature,you can love two men equally at the same time",tafuta nyimbo ya mary macgregory inayoitwa "torn between two lovers"utajua nini namaanisha!
Thanx ibu...trust me ushindi mnono ni wetu!
Wanawake wanaweza maana kuna mke wa mtu hapa ananipendaaaaa hadi anataka kufa, yuko tayari hata kumuacha mume wake sema nampiga biti kwamba sina mpango wa kuoa.
Hapo ndio huwa wanawake wananiacha hoi.
Bora hata hiyo...unaweza ukafall kwa mtu hata hujawahi kumuona, mnachat tu. Sijui ni ugonjwa gani huu
Hahaha tatty yaan unamfuraia MTU haumjui na unapatwa na hamu ya kuchat nae af ukishikwa ukimwambia wife kuwa Simjui hakuelewi kabisa #I've_experiencedthis!
Hahahahaha tatty yaaan na we we ushawahi aseee yaan mnapanga vitu ambavyo haviwezekani na kuna muda unatype af unafuta msg unammiss ila unakosa subject