Haunted houses zipo, chukua hatua

Pole sana ndugu yangu......

 
umeongea kama hayati magu 😄😄
 
Nipe mmiliki wa nyumba aone kama sintakaa na kula bata mwanzo mwisho
 
Mtaani hapa kuna nyumba ilishashindikana kukalika, sasahivi naona majini ndio yanajitawala maana ikifika jioni yanawasha taa asubuhi yanazima.
Hayo yatakuwa na undugu na haya ya mtaani kwetu. Unashangaa tu unaona bodaboda inapita, anayeendesha humwoni. Geti linafunguliwa bodaboda inaingia ndani. Aliyefungua geti hata haonekani...
 
Nipe mmiliki wa nyumba aone kama sintakaa na kula bata mwanzo mwisho
Kuna mchungaji mmoja wa kilokole alijifanya hamnazo akaingia kwenye nyumba iliyoshindikana ili aiombee... Alichezea bakora za kufa mtu, hiyo siku ndo nikashangaa kwanini watanzania tunachemka kwenye mashindano ya riadha wakati kuna Filbert Bay mpya ametulia tu huku Bunju
 
Siyo hamnazo,hakuwa na nguvu za kupambana na hayo madude.Alikuwa mwepesi kiimani.Kuna wenye kuziweza hizo shughuli ambao akitia mguu tu.........
 

🤣🤣🤣
 
hahaha nimecheka hapo kwa hao ndondocha kutojua kiinglishi
Wale wazungu walicharazwa bakora vibaya, sasa sijui wakawa wana lalama kwa kimombo, lahaulaa tobaaah ndondocha wa watu hata Pre form One hawaijui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndo wakazidi kuwapa vichapo wazungu wa watu, huku wana walazimisha waongee kiswahili, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ha Ha Ha
 
Siyo hamnazo,hakuwa na nguvu za kupambana na hayo madude.Alikuwa mwepesi kiimani.Kuna wenye kuziweza hizo shughuli ambao akitia mguu tu.........
Thubutuuuuh, labda awe mganga wa kienyeji, sio imani ya kiroho tyuuuj, atachezea kichapo hadi asahau na uchungaji wake wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hayo yatakuwa na undugu na haya ya mtaani kwetu. Unashangaa tu unaona bodaboda inapita, anayeendesha humwoni. Geti linafunguliwa bodaboda inaingia ndani. Aliyefungua geti hata haonekani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopi sasa babuuh?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Jamaa uliyemkuta ulimuacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…