Haunted houses zipo, chukua hatua

Haunted houses zipo, chukua hatua

Rest easy, content zako bado zinaishi mkuu warumi
 
Kwahiyo huu ndio ushahidi?

Imani za dini na ushirikina ni shambulio la kiakili aisee
Shambulio la kiakili nchi nzima
Hata kausha damu sio hivi
Huku ndio kurogwa sasa and you are one of them
Screenshot_20231030_063547_Instagram~2.png
 
Mimi siamini shirk wala uchawi wala mizimu ila ipo
Waswahili mnayo sana haya mambo ila mimi nimechangia tu wala hakuna sehemu nimesema naamini
Hayo ni maneno yako mwenyewe

Nenda Haiti ukashuhudie nchi nzima wanaamini haya mambo
Wametoka huko huko kwenu aisee

Uongo ni uongo tu hata uaminiwe na dunia nzima
Kama ni uongo utabakia kuwa uongo

Hakuna Mungu lakini 99% ya watu duniani wanaamini kuna Mungu

Wewe umepost photoshopped kuthibitisha mizimu ipo....ndio nikakushangaa sana aisee
 
Labda kwasababu sijaelezea mazingira na muonekano wa hiyo nyumba ndio maana naonekana kama mzushi tu😃

Nyumba yenyewe kwa nje ya geti imezungukwa na vichaka hadi njia ya kuingilia haionekani, ndani ya geti ni vichaka vitupu, vioo vya madidirisha vilishapasuka yani kiufupi ni kama gofu.
Je, Wanalipia LUKU?
 
Je, Wanalipia LUKU?
Yani unaniuliza swali kana kwamba nna ushirika na hayo majini, by the way hiyo nyumba niliyoiongelea hapa ni nyumba ya zamani sana na mita yake sio ya luku bali ni zile mita za kizamani ambazo kulikua na msoma mita anapita kusoma ndio unapata bill pia nahisi hata tanesco wanaogopa kuingia kukata umeme.
 
Kwa kuwa kuna binadamu na majini kwa baadhi tunavyoamini
Kweli majini wapo kila sehemu na tunaishi nao
Pia wengine wanaamini kuna mizimu na kama wazungu wanaamini kuna Nafsi zilizouliwa kwenye baadhi ya nyumba

Mimi binafsi kuna hotel nililala lakini cha ajabu nilikuwa naona kila wakati kama kuna kitu kinakatisha pembeni yangu ( kimvuli)
Sikushtuka sana kwani napenda sana kukutana na mambo kama hayo na nafsi hizo
Nilijaribu kuongea nae bila kupata jibu, nikalala zangu
Ila haya mambo yapo sana na nikipata fursa ya kupata haunted house ntaenda nikaone
Upo serious mkuu? Kuna nyumba kibao zina mambo hayo njoo PM nikuunganishe kwa gharama kidoogo sana
 
Yani unaniuliza swali kana kwamba nna ushirika na hayo majini, by the way hiyo nyumba niliyoiongelea hapa ni nyumba ya zamani sana na mita yake sio ya luku bali ni zile mita za kizamani ambazo kulikua na msoma mita anapita kusoma ndio unapata bill pia nahisi hata tanesco wanaogopa kuingia kukata umeme.
Tanesco hawawezi kukatia umeme kwenye Nguzo?
 
Si kweli mkuu,wapo wachungaji hayo ni mambo madogo Sana,hao viumbe wanasalimu amri vizuri sana.Jambo la msingi elewa tu kwamba wapo watumishi wa Mungu wenye nguvu za kiroho na wanaponya watu,watu wanafunguliwa vizuri Sana.Majini ,wachawi kwa level zao wanakimbia.

Sizungumzi kwa kubahatisha,ila kuna wanaoelewa ninaongea nini.Bahati nzuri kuna mtu ktk familia yangu mwenye uwezo na nguvu za mamlaka hayo na nimeshuhudia vifungo vya watu vya mateso vinaondoka.Watu wanapona magonjwa.

Watu wamekosa imani kwasababu matapeli wamekuwa wengi.

Pili,wewe unayeombewa km pia una imani haba hutaupata uponyaji.
Naomba mawasiliano ya huyo mtumishi wa Mungu nahitaji maombi mkuu
 
Jamaa uliyemkuta ulimuacha?
By theway yapo mimikuna moja kigogo nlihamia weeki ya kwanza nlilala nikaamka nimelala nje nimepoteza biashara ya sehem karakoo nimepoteza mtoto kwenye hio nyumba nimepiga vibao sana usiku mpaka nlipopata upenyo wa kuondka uchumi ulifuga kila kitu
 
Yani unaniuliza swali kana kwamba nna ushirika na hayo majini, by the way hiyo nyumba niliyoiongelea hapa ni nyumba ya zamani sana na mita yake sio ya luku bali ni zile mita za kizamani ambazo kulikua na msoma mita anapita kusoma ndio unapata bill pia nahisi hata tanesco wanaogopa kuingia kukata umeme.
Duh! Natamani sana kuona au kushuhudia mauzauza kama hayo.
Nashukuru kwa Taarifa.
 
ndugu natafuta hounted house arusha town nikae bure
au bei kitonga sana Sina hela aiseee mie huwa hazinisumbui kabisa naomba msaada
 
Back
Top Bottom