Haunted houses zipo, chukua hatua

Haunted houses zipo, chukua hatua

Kuna jamaa alinunua nyumba kule kwa wagosi Tanga ,lakini nyumba ile iliuzwa na bank baada ya mgosi kushindwa kulipa bank .
Bwana bwana yule mgosi kumbe aliacha jini mle ndani acha bwana mnunuzi apigwe MBUPU kila siku machine machine anawekwa style kama za Giggy money akaona aaaaaaaah bhaghosha ntapoteza ubingwa kabisa akatimua .
😂😂 We umeamua kufurahisha watu tu
 
Back
Top Bottom