Haunted houses zipo, chukua hatua

Thubutuuuuh, labda awe mganga wa kienyeji, sio imani ya kiroho tyuuuj, atachezea kichapo hadi asahau na uchungaji wake wenyewe

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Si kweli mkuu,wapo wachungaji hayo ni mambo madogo Sana,hao viumbe wanasalimu amri vizuri sana.Jambo la msingi elewa tu kwamba wapo watumishi wa Mungu wenye nguvu za kiroho na wanaponya watu,watu wanafunguliwa vizuri Sana.Majini ,wachawi kwa level zao wanakimbia.

Sizungumzi kwa kubahatisha,ila kuna wanaoelewa ninaongea nini.Bahati nzuri kuna mtu ktk familia yangu mwenye uwezo na nguvu za mamlaka hayo na nimeshuhudia vifungo vya watu vya mateso vinaondoka.Watu wanapona magonjwa.

Watu wamekosa imani kwasababu matapeli wamekuwa wengi.

Pili,wewe unayeombewa km pia una imani haba hutaupata uponyaji.
 
Labda kwasababu sijaelezea mazingira na muonekano wa hiyo nyumba ndio maana naonekana kama mzushi tu

Nyumba yenyewe kwa nje ya geti imezungukwa na vichaka hadi njia ya kuingilia haionekani, ndani ya geti ni vichaka vitupu, vioo vya madidirisha vilishapasuka yani kiufupi ni kama gofu.
Kwaiyo hata bili za umeme yatakuwa yanalipa hayo majini sio
 
Si kweli mkuu,wapo wachungaji hayo ni mambo madogo Sana,hao viumbe wanasalimu amri vizuri sana.Jambo la msingi elewa tu kwamba wapo watumishi wa Mungu wenye nguvu za kiroho na wanaponya watu,watu wanafunguliwa vizuri Sana.Majini ,wachawi kwa level zao wanakimbia.

Sizungumzi kwa kubahatisha,ila kuna wanaoelewa ninaongea nini.Bahati nzuri kuna mtu ktk familia yangu mwenye uwezo na nguvu za mamlaka hayo na nimeshuhudia vifungo vya watu vya mateso vinaondoka.Watu wanapona magonjwa.

Watu wamekosa imani kwasababu matapeli wamekuwa wengi.

Pili,wewe unayeombewa km pia una imani haba hutaupata uponyaji.
Hizi hadithi tyuuh hata kwenye vitabu zipo.
 
Yalinikuta haya wakati nahamia kwangu, kila siku ya Mungu naota misiba huko nyumbani. Maisha yakawa magumu kupitiliza, pesa haikai mwisho wa siku wakaninyoa nywele pande mbili za kichwa. Nikaenda kunyoa zote. Zimeota tena kidogo wakaninyoa tena, ilibidi niende kwa wazazi kupumzisha akili yangu pamoja na kupata ushauri wa nini nifanye,.
Sema tu, ulienda kwa Babu
 
Mtaani hapa kuna nyumba ilishashindikana kukalika, sasahivi naona majini ndio yanajitawala maana ikifika jioni yanawasha taa asubuhi yanazima.

Wapi hapo nije kupanga mkuu

Hizo ni Hadithi tu
 
Kwa kuwa kuna binadamu na majini kwa baadhi tunavyoamini
Kweli majini wapo kila sehemu na tunaishi nao
Pia wengine wanaamini kuna mizimu na kama wazungu wanaamini kuna Nafsi zilizouliwa kwenye baadhi ya nyumba

Mimi binafsi kuna hotel nililala lakini cha ajabu nilikuwa naona kila wakati kama kuna kitu kinakatisha pembeni yangu ( kimvuli)
Sikushtuka sana kwani napenda sana kukutana na mambo kama hayo na nafsi hizo
Nilijaribu kuongea nae bila kupata jibu, nikalala zangu
Ila haya mambo yapo sana na nikipata fursa ya kupata haunted house ntaenda nikaone
Ahh Wacha kutuleta huo ni urongo wongo wongooo kabisaass
 
Ahh Wacha kutuleta huo ni urongo wongo wongooo kabisaass
Bisha tu
Screenshot_20231030_010607_Photos~2.png
 
Kwahiyo huu ndio ushahidi?

Imani za dini na ushirikina ni shambulio la kiakili aisee
Mimi siamini shirk wala uchawi wala mizimu ila ipo
Waswahili mnayo sana haya mambo ila mimi nimechangia tu wala hakuna sehemu nimesema naamini
Hayo ni maneno yako mwenyewe

Nenda Haiti ukashuhudie nchi nzima wanaamini haya mambo
Wametoka huko huko kwenu aisee
 
Back
Top Bottom