[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hiyo imeshashindikana, maana kuna wazungu walipanga humo, japo waliambiwa wao wakawa wabishi,Kama bado ipo itabidi nije nimuone OTTAWA nifunge camera nione horror movie
Yaani natamani sana kuona mambo haya zaidi
Kuna wazungu kazi zao hizo kuzitafuta nyumba za hivyo na wanalala humo na wengine wanalipwa [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahNenda ukakutane na yenye popo bawa ulete mrejesho mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hiyo imeshashindikana, maana kuna wazungu walipanga humo, japo waliambiwa wao wakawa wabishi,
Unaambiwa walicharazwa bakora, na kulazimishwa waongee kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya pili mbna walihama wenyewe, chezea ndondocha weyeeeh.
Yaan hapa mbavu sina wallah, huyo OTTAWA kakimbila makambako sahivi ndo anakofanya shughuri zake, mweeeeh
Mkuu ninachouliza mimi uliongea nae vipi kwa ishara au ulitoa sauti au uliongea kimoyomoyo yani sio kuhusu majibu yao
Tena wanaambiwa waongee kiswahili, sijui wale ndondocha hawakusoma hata 4m 1? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo wazungu wenyewe wamecharazwa na ukiherehere wao
Ndondocha balaaa [emoji23]
Basi mkuu na wewe ni mzito uliwezaje kuishi bila tabu 🤔Mpwa....
Niliwahi kupanga Chumba maeneo fulani ya magomeni....ile nyumba ilikuwa na vyumba saba lakini wapangaji tuliokuwa tunajuana ni mimi na jamaa mmoja.....nilikaa pale miezi miwili pasi nakuonana na wapangaji wengine zaidi ya jamaa ninayekutana naye akiwa anatoka na kurudi kazini.....lakini kipindi chote shughuli zote za kuashiria kuwa vile vyumba wanaishi watu zilikuwa zinaendelea kama vile kupika na mazungumzo yaliyojaa vicheko vya hapa na pale.......lakini ukikaa koridoni huoni mtu......kilichonifanya nikimbie ile nyumba ilikuwa siku ya jumapili...nilichelewa kuamka....muda nilio amka nikachukua ndoo yangu kwenda bafuni kujimwagia....nikakuta bafuni kuna mtu anaoga kutokana na viashiria vya kumwagika kwa maji humo bafuni.....nikasema ngoja nisubirie tu hapa hapa kuliko kujisumbua kurudi chumbani kwangu......nilikaa karibu na mlango kabisa.....baada ya muda kadhaa kimya kikatawala mule bafuni kuashiria kwamba mtu ameshatoka sasa lakini atakuwa amepitia wapi......wakati naangaza macho kwenye korido nikaona kuna kandambili zimeloa kwenye moja ya ile milango ambayo sijawahi kuwaona watu wakiingia humo.....akili yangu ikaniambiaa kuwa kuna kitu hakipo sawa.....nikaingia bafuni nikaoga.....nikarudi chumbani kwangu nikavaa nikatoka......nilipokuwa mitaani nikamtafuta mtu mzima kidogo ambaye ni mwenyeji na kumdadisi kuhusu nyumba ile.....akaniambia ile nyumba ni nzito.....na inakaliwa na watu wazito......huo ndio ukawa mwisho wa mimi kukaa mule ndani na hata vyombo niliagiza watu wanileteee......
Mimi sio mzito ndio maana nikaondoka......Basi mkuu na wewe ni mzito uliwezaje kuishi bila tabu 🤔
Muongo huyo mchawi ni yeye mwenyewe, au uchawi wake ndo masharti yake hayo.Aya mambo yapo..
Kuna jamaa nilimtembelea kwake na kulala..Usiku mara tukasikia watoto wanalia sebuleni..Jamaa akaniambia usiwe na wasiwasi hiyo nyumba ni kawaida.Siku ya pili mara nasikia nyumba kama vile inaelea juu ya maji.
Kuangalia nje kwenye kioo nikaona maji kama bahari aisee..
Jamaa nikamuuliza vipi..akasema ndiyo hivyo tupo safarini.
Kulipo kucha nikamwambia naondoka aisee nakumshauri atoke apo ...Jibu lake daah Eti akijaribu kuondoka apo basi atakua kichaa maana ndiyo alivyo ambiwa baada ya kusimuria kuhusu hiyo nyumba
Tatizo la maskin huwa wanajua pesa ni solution ya kila kitu kumbe wanajidanganyaView attachment 1792138View attachment 1792139
Lambertville High School
Hii ni shule ipo USA ilifungwa kutokana na mauzauza.
View attachment 1792143View attachment 1792144
Yorktown Memorial Hospital ipo texas ulikuwa kama una tattoo ama umetoboa sehemu yeyote ya mwili wako ukiingioa humo hospital unakufa ukafungwa.
Tafta na hizi [emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1485]ancient ram inn
[emoji1485]Wicklow Gaol
[emoji1485]chateau de chateaubriant
Sasa hapo jiulize kama kwa wazungu mwenye utajiri kuzidi hao wa masaki na oysterbay kuna haya mambo vipi kwa waafrika itakuweje?
Kama halijakufika ni bora unyamaze tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unamamboNilitoa sauti na kuwauliza
Nyie nani na mnataka nini? Kwa sauti kubwa bila majibu
Maana nasikia kuna wengine huwa wanakujibu ukiwauliza eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unamambo
Mfano angekujibu kwa sauti sisi flani tumekuja kukuchukua ingekuwaje[emoji23][emoji23]Ukisikia Wasiojulikana ndio hao sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mfano angekujibu kwa sauti sisi flani tumekuja kukuchukua ingekuwaje[emoji23][emoji23]
Unaongea tu bro mambo magumu hayoHapo ndio patamu sasa maana kungekuwa na mvutano nani boss
Ningewafuata tu nikaone wanaishije huko kwao [emoji23][emoji23]
Yaani wewe unataka niongeze bidii ya kuwasaka sasa
Mkuu acha chai basi khaaaa hahhahahaahaTena wanaambiwa waongee kiswahili, sijui wale ndondocha hawakusoma hata 4m 1? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaaaaaah
Acha tu ndugu yangu. Yamenikuta. Sijui kama ni stage tu ya maisha nakumbana nayo au kuna mtu anajaribu kunikwamisha. Ila kama ni mtu ananikwamisha siku nitakuja kumgundua ataisoma namba!! Na naomba kama kuna mtaalamu yeyote anaeweza kunisaidia nipo tayari kutoa ushirikiano ila asiwe tapeliHUWEZI KUJUA KUWA DUNIA INA MAMBO MPAKA LIKUKUTE JAMBO........
Walimwengu ni zaidi ya unavyowaona au unavyowatazama.......
NB;
DUNIA MSONGAMANO.......
Kujenga nyumba nzuri kijijini ili bidi ujiandae na Vita mapemaAcha tu ndugu yangu. Yamenikuta. Sijui kama ni stage tu ya maisha nakumbana nayo au kuna mtu anajaribu kunikwamisha. Ila kama ni mtu ananikwamisha siku nitakuja kumgundua ataisoma namba!! Na naomba kama kuna mtaalamu yeyote anaeweza kunisaidia nipo tayari kutoa ushirikiano ila asiwe tapeli
Miaka kama mitatu hivi nilibahatika kupata kazi sehemu flani, kazi ilikuwa na maslahi kweli kweli na ukizingatia mimi nilikuwa bahili kweli kweli. Hela yangu ilikuwa hailiwi kizembe.
Nikawa pia nafanya kilimo, kilimo nacho kikawa kinanilipa kweli kweli. Hela ikanitembelea kweli kweli. Kila nikichungulia kwenye akaunti ikawa inanona vilivyo. Kabla nikiwa naenda likizo akaunti yangu ilikuwa inasoma 57M.
Kufika home kijiji cha kwanza nikamwambia mzee anionyeshe sehemu ya kujenga. Nikaanza chapu maana nilikuwa na likizo ya mwezi m1 tu.
Of course mimi napenda vitu quality. Nikaanza ujenzi wa nyumba ya ndoto zangu ambayo itakuwa ni ya familia yangu pia. Ni nyumba kubwa tu.
Likizo ilivyoisha tu nikarudi zangu mzigoni nyuma nikaacha ujenzi ukiendelea. Nikapaua, nikaweka dirisha na milango ya chuma, nikapiga plasta, wiring na plumbing. Ikawa gumzo pale kijiji. Bwana bwana bwana weee, ghafla mambo yakawa yamebadilika kwa speed ya 5G
Mara vuuup, nikafukuzwa kazi. Lakini akaunti yangu ikawa iko vizuri tu. Nikasema isiwe tabu. Nikasema suburi nifanye biashara pamoja na kuendelea na kilimo kama kawa. Cha kushangaza kila nikitia hela huko inafia huko hairudishi hata mtaji. Nikatia mzigo kwa mara nyingine safari hii nilipigwa hasara mpaka nikikumbuka natetemeka.
Ikawa najikingoja tu hivyo hivyo. Miezi 7 haikuisha 22M sijui zikivyokauka kauka na sasa nipo sina hata mia.
Bado sijakata tamaa, nipo napambana kutafuta chaka lingine maana kama elimu na mavyeti ninayo ya kutosha ila hili nuksi lililonijia sitakaa nilisahau kamwe.
Kimsingi roho hata hainiumi kwa vile kila nikiangalia mjengo wangu natabasamu najisemea kimoyomoyo "Asante Mungu" japokuwa haijaisha ila kwa umri wangu wa 30's nina imani nitapambana nikamilishe nyumba ya ndoto zangu kijijini kwanza ila sijui ni kwa namna gani maana kila nachofanya hakiendi.
Napitia wakati mgumu sana ndugu zangu. Niombeeni. Au nasema uongo ndugu zangu???
KAMA KUNA MTU YUKO NYUMA YA HILI NASEMA AJIANDAE, TENA NASEMA AJIANDAE KWELI KWELI. ONCE NITAKAPOMJUA, hiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!