Hatua za kuchukuliwa baada ya watu 20 kufa Moshi

Unataka kuchanganya imani na mambo ya sayansi? imani inasema kuwa penye mikusanyiko ya dini amani ipo ila sayansi inasema kuwa penye mkusanyiko wowote ule hata kama ni wa dini risk ipo na serekali inafuata sayansi na siyo imani! Kwa hiyo hata kama yesu atarudi leo na akakusanya watu lazima serekali ikafanye crowd risk management! Serekali inayoongoza watu haitumii imani za dini kuongoza watu hao bali hutumia sayansi! Na blah blah sijui za polisi na red cross message yangu ilikuwa ni kwamba mwenye kosa ni serekali yenyewe kupitia vyombo vyake vya usalama na siyo Mwamposa!!
Hii comment yako tunaiweka akiba. Ngoja ahojiwe halafu tusikie majibu ya wanasheria. Wewe umeenda mbali sana. Tutarudi kwako
 
hawakimbii na hawashtakiwi popote mtu akifa mikononi mwa daktari
Basi mwamposa nae anajua hana kosa lakini amekimbia na ameendesha gari usiku usiku na hajatoa pole wala tamko lolote.

Na DSM kaendesha Ibada kama kawaida ila kamaliza saa 4.30 baada tu ya kukusanya sadaka. Akasemavkuna matatizo
 
Kwanza nimpongeze waziri wa mambo ya ndani kwa hekima aliyo tumia kuweka vizuri jambo hili hadi likaeleweka vizuri kwa jamii juu ya makosa yaliyofanyika na huyu mtu anaye jiita nabii.

Pili hili liwe fundisho kwa hawa wasaka utajiri kwa udanganyifu kupitia dini, sijui Mungu wa nyakati hizi ameounguza hasira lakini ipo siku watalipwa sawaswa na matendo yao.

Naomba serikali ifanye mambo haya.

1. Kufunga mojamoja kwa moja kibanda hiki cha mwamposa.

2. Asiruhusiwe kufanya mamho yake haya ndani ya Tanzania.

3. Yeye mwamposa na kundi lake wawajibike na kesi hii ya mauaji kama kesi nyingine.

4. Achunguzwe Utajiri wake na kundi lake lote waeleze wamepata wapi.

Hili liwe fundisho kwa wengine wenye roho mbaya kama mwamposa. Ameacha watu wamekufa na kujeruhiwa anekimbilia dar kwenye kibanda chake kawe. Roho mbaya sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waanze na kumuwasha na money laundering tumsahau kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa criminal negligence, hasa iwapo hiyo neglicence itasababisha kifo. Mwamposa lazima awe liable kwa negligence. Alitakiwa in the first place kutafakari kabla hajaruhusu watu zaidi ya elfu 10 kupita kwenye geti moja kwa wakati mmoja. Hilo la kwanza.

Namba mbili, Mwamposa aliomba kibali cha mikutano kuanzia sa 6 mchana hadi sa 12, maafa yametokea sa 2 usiku, hivyo alivunja sheria, akawa na unlawful assembly nje ya kibali.

Tatu, Mwamposa amekosa ubinadamu na ustaarabu, amesababisha watu kufa halafu akakimbia eneo la tukio, yeye ndie aliomba kibali hivyo alipaswa kurudi polisi kutoa taarifa nini kimeendelea na hata kama mkutano ungeisha salama alitakiwa kwenda polisi kutoa taarifa na kushukuru. Hakufanya hivyo, akakimbia, tena kwa kukwepa mamlaka, alikua arudi na ndege akashtuka atakamatwa akatumia gari, huu ni uhayawani.

Mwamposa amekosa hata huruma ya kuwa eneo la tukio kuwafariji waumini wake, kuwapa pole kwayaliyotokea.

Hili la Mwamposa ni wazi alikua na nia mbaya-ill motive hasa baada ya kukimbia eneo la tukio. Apigwe marder case atulie kwanza lupango.

Mpumbavu sana.
Watu wamekanyagana makah katika harakati za kushika ile kitu inayozungukwaga watu wote mkaa kimya, watu wamekufa kwa kukanyagana kwenye Mazishi ya Major General QAsim Suleiman like Iran mmekaa kimya eti leo watu ishirini wamekufa kwa kukanyagana Moshi kelele nyingi. Mbona hukujadili mahujaji? waache watu na Imani zao. Polisi wazembe sana eti wanalalamika muda aliotakiwa kufunga mkutano umepitiliza badala ya saa kumi na mbili jioni wakafunga saa moja na nusu. Sasa mlichukua hatua gani kudhibiti muda baada ya kufika. Utaratibu wa hovyo tu hakuna kingine wanausalama wazembe Sana kila kitu wanachukulia poa tu.

Mecca wanaomba vibali na Iran pia waliomba vibali si bora usichangie tu
 
Kwanza nimpongeze waziri wa mambo ya ndani kwa hekima aliyo tumia kuweka vizuri jambo hili hadi likaeleweka vizuri kwa jamii juu ya makosa yaliyofanyika na huyu mtu anaye jiita nabii.

Pili hili liwe fundisho kwa hawa wasaka utajiri kwa udanganyifu kupitia dini, sijui Mungu wa nyakati hizi ameounguza hasira lakini ipo siku watalipwa sawaswa na matendo yao.

Naomba serikali ifanye mambo haya.

1. Kufunga mojamoja kwa moja kibanda hiki cha mwamposa.

2. Asiruhusiwe kufanya mamho yake haya ndani ya Tanzania.

3. Yeye mwamposa na kundi lake wawajibike na kesi hii ya mauaji kama kesi nyingine.

4. Achunguzwe Utajiri wake na kundi lake lote waeleze wamepata wapi.

Hili liwe fundisho kwa wengine wenye roho mbaya kama mwamposa. Ameacha watu wamekufa na kujeruhiwa anekimbilia dar kwenye kibanda chake kawe. Roho mbaya sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na kwenye swala hili la uchunguzi asichunguzwe Mwamposa tu. Avumaye baharini ni papa kumbe wengi wamo. Wapo na wengine walishaanzisha mradi ya ujenzi wa Kanisa halafu Kanisa huwa haliishi kujengwa, nadhani karibia miaka 15 sasa, au zaidi. Waumini wanasalia kwenye banda miaka yote, mvua ikija wanaanza kunyeshewa mvua, Kanisa huwa haliishi, na halina dalili za kuisha! Mbaya zaidi pembeni ya banda kuna Chambre ya choo, mvua ikinyesha chmabre inafurika inaanza kutoa kinyesi kimechanganyikana na maji, waumini wanakanyaga maji hayo yaliyochanganyikana na kinyesi, na watoto ndiyo kabisa sehemu zao za kuchezea. Kuna mambo mengine yanafanyika kwenye baadhi ya nyumba za Ibada, ambayo huwezi kuyakuta sehemu nyingine yoyote
 
Kwanza nimpongeze waziri wa mambo ya ndani kwa hekima aliyo tumia kuweka vizuri jambo hili hadi likaeleweka vizuri kwa jamii juu ya makosa yaliyofanyika na huyu mtu anaye jiita nabii.

Pili hili liwe fundisho kwa hawa wasaka utajiri kwa udanganyifu kupitia dini, sijui Mungu wa nyakati hizi ameounguza hasira lakini ipo siku watalipwa sawaswa na matendo yao.

Naomba serikali ifanye mambo haya.

1. Kufunga mojamoja kwa moja kibanda hiki cha mwamposa.

2. Asiruhusiwe kufanya mamho yake haya ndani ya Tanzania.

3. Yeye mwamposa na kundi lake wawajibike na kesi hii ya mauaji kama kesi nyingine.

4. Achunguzwe Utajiri wake na kundi lake lote waeleze wamepata wapi.

Hili liwe fundisho kwa wengine wenye roho mbaya kama mwamposa. Ameacha watu wamekufa na kujeruhiwa anekimbilia dar kwenye kibanda chake kawe. Roho mbaya sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi likipata ajali tajiri anafungwa?Baba Jesca alivyoanguka Lindi nabii alimuhudumia..watoto wa mjini wanasema imeisha hiyo
 
Kwa hiyo kisichoweza kuthibitishwa kwa akili na mawazo ya kibinadamu ni Mungu? Kwa hiyo kwa sababu hatuwezi kuthibitisha kwa Kili na mawazo ya kibinadamu uwepo wa viumbe hai kwenye sayari nyingine kwa hiyo hizo sayari nyingine nazo ni Mungu?
Uthibisho wa Mungu si wa kibinadamu kama unavyofiklia,usibitisho wa Mungu ni wa kiimani kutokana na matendo na matokeo yake,tunaamini kuwa upepo upo pale tunaposikia mvumo wa upepo na miti inapotikisika,nguo na majani vinapopeperushwa na tunapoweza kuutumia upepo huo kwenye shughuri za kibinadamu kama vile kujaza upepo mataili ya magari,mipira ya kucheza n.k na hauonekani kwa macho na haugusiki,isipokuwa kwa matendo ya upepo na matokeo yake ndivyo vinavyotufanya tuamini kuwa upepo upo na uchunguzi hauhitajiki kuthibitisha kuwa upepo upo au haupo kwa kuwa unaonekana kwa matendo yake.

Hivyo hivyo kwa Mungu tunaamini kuwa Mungu yupo kutokana na yale yaliyotokea na yale yanayoendelea kutokea, imeandikwa kuwa Mungu akasema kuwa na tumuumbe binadamu kwa mfano wetu wakazaliane na waijaze nchi, ni kweli binadamu wapo na wanaendelea kuijaza dunia, baada ya binadamu kumuudhi Mungu, Mungu akasema kuwa hakika utakufa kwa kuwa wewe ni mavumbi na mavumbini utarudi, tangu hapo binadamu walianza kufa na hakuna anaeweza kuzuia kifo pamoja na ujanja wote wa binadamu hapo kwenye kifo ndio funga kazi ya binadamu.

Kwa ujumla matendo yanayotokea na ambayo hayawezi kuzuiliwa na binadamu ndio yanayothibitisha kuwa Mungu yupo na hachunguziki.

Vile vyote vinavyo chunguzwa na binadamu iwe sayari, viwe viumbe vinavyoonekana kwa macho na visivyoonekana kwa macho siyo Mungu, ndio maana Mungu wa mbinguni kampa akili binadamu kufika huko na kufanya uchunguzi.

Wakati hakuna binadamu yeyote au nchi yoyote iliowahi kuwa na mpango wa kutafuta mahali mbingu ilipo na kwenda kufanya uchunguzi uwepo wa Mungu, kwa kuwa mpango wa Mungu wa kuiona mbingu na kumuona Mungu mubashara ni mpaka ufe.
 
Hayo matendo na matokeo yanayothibitisha kuwa mungu yupo ni yapi?
 
Kwanza nimpongeze waziri wa mambo ya ndani kwa hekima aliyo tumia kuweka vizuri jambo hili hadi likaeleweka vizuri kwa jamii juu ya makosa yaliyofanyika na huyu mtu anaye jiita nabii.

Pili hili liwe fundisho kwa hawa wasaka utajiri kwa udanganyifu kupitia dini, sijui Mungu wa nyakati hizi ameounguza hasira lakini ipo siku watalipwa sawaswa na matendo yao.

Naomba serikali ifanye mambo haya.

1. Kufunga mojamoja kwa moja kibanda hiki cha mwamposa.

2. Asiruhusiwe kufanya mamho yake haya ndani ya Tanzania.

3. Yeye mwamposa na kundi lake wawajibike na kesi hii ya mauaji kama kesi nyingine.

4. Achunguzwe Utajiri wake na kundi lake lote waeleze wamepata wapi.

Hili liwe fundisho kwa wengine wenye roho mbaya kama mwamposa. Ameacha watu wamekufa na kujeruhiwa anekimbilia dar kwenye kibanda chake kawe. Roho mbaya sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app

Waziri hajatenda sawa, yeye ni nani kujua wapi pana Mungu na wapi hakuna Mungu? Waziri si mwamuzi wa mambo ya imani hata siku moja.

1. Huwezi kufunga huduma kwa sababu ya ajali ambayo HAIKUTOKANA NA MAFUNDISHO ya huduma hiyo. Acheni uzishi enyi wa imani tofauti. Anza kwa kuthibitisha kuwa mafundisho yake ndio sababu ya vifo.

2. Akafanyie mambo yake Saudi Arabia? Ama Iran? Mihemko. Anza kwa kuonyesha tatizo na kwa nini umefikia mtazamo huo.

3. Amemuua nan? Lete ushahidi hapa ufiche upumbavu wako. Sheria haziendi kwa mihemko.

4. Unaonyesha chuki binafsi kuliko kujenga hoja, mnajaza tu server za jf.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Upumbavu na Ujinga wa Kilokole ndiyo Huu! Mambo ya kiroho haya au Ujinga? Sijaona one time Yesu apifanya miujiza vikatokea Vito vya Kijinga kama hivi!
Kwa sababu ni vya kijnga. Hapo hakuna ulokole bali ni uhalisia. Acha chuki binafsi uuone ukweili. The guy is ceani ingawa sikubaliani na mafundisho yake

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Back
Top Bottom